Search results

  1. S

    Je Ni sawa??

    Nafikiri katika zoezi hili wafuatilie na wanaowapa ujauzito ni kina nani kama ni wanafunzi wenzao nao pia si wazazi? basi wasichanganywe pia?, tusiangalie one side of the Coin
  2. S

    Lazima tuwekane sawa kuhusu UKIMWI

    Haya ndiyo matatizo ya watu kuona uongozi ni sehemu ya kujikomboa na sio kukomboa taifa. Huyu yawezekana alipata nafasi kwa kuwa ana mtu alimkingia kifua ili nae ajikomboe.
  3. S

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    With Man U you'r always happy
  4. S

    Kikwete hana ubavu wa kuvunja baraza la mawaziri

    Pale kiongozi anapopata madaraka kwa njia za Ufisadi basi Ufisadi na mafisadi wanakuwa wamepata baraka zote za kiongozi huyo. Mwacheni JK na kundi lake la Mafisadi kwani kuwafukuzuza kazi ni hatari zaidi kwake kuliko kuwaacha waendeleze Ufisadi. Kilichobaki ni sisi kuwapiga chini kwa kura zetu
  5. S

    Upinzani Ndani Ya Mtandao

    Sababu za Kumtimua zipo ila nia JK hana, anachofanya sasa ni kulipa fadhila kwa wachafuzi wa majina ya watu katika mchakato wa kumpata mgombea 2005 (a.k.a mtandao). ila anaweza wabadilikia 2010 japo atashinda kwa ufinyu au kwa nguvu za dola (a.k.a kuiba kura na kutisha wananchi0
  6. S

    Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

    Nafikiri matokeo haya si mabaya sana kwani, yanatufanya turudi kwenye hoja za msingi. Hii safari haikuwa yetu, cha kufanya ni kujipanga na kuwa na long term programmes sio zimamoto kama hii. tujenge timu ya 2010, ni muda mzuri sana. Football is costing tusitake cheap.
  7. S

    Kashfa ya Richmond: The FACTS

    Ni kweli ila kila jambo lina wakati wake kwa leo STARS
  8. S

    Nini Hatma ya Upinzani Tanzania?

    Mimi nina mawazo tofauti kidogo. Upinzani Tanzania upo na upo strong sana tu, ila kuna kitu watu hawataki kukiweka wazi. CCM ni chama kikubwa, chama dola chama ambacho kila mtu mwenye nafasi ya ulaji atakitetea, kuanzia, Usalama wa Taifa, Polisi, Jeshi na hata watoa haki tunao waamini(...
Back
Top Bottom