Swala hili ni tata kigogo mimi matokeo haya nizao la kutoheshimu taluma za watu na uzembe wa wizara pamoja na serikali,jamani tukumbuke mwaka jana hawa jamaa walilazimishwa kurudi kazini kwa nguvu ya mahakama walipokuwa na mgomo kudai stahili zao leo matokeo mabaya mnashangaa nini? serikali hii...
ok nashukuru kwa kupata mwanga maana jana mheshiwa huyu aliposema maneno haya nilifikiri lakini sikujua ni nani,nawashukuru walio mtaja Napata picha halisi sasa
Ki uchumi sio Vizuri kuwa na sarafu za thamani kubwa ,uchumi ulikomaa inafaa kuwa na sarafu zenye value ndogo au noti isiyo zidi mia tano 500 ,mfano UK and US hwana hata noti ya 1000 maana yake kuwa uchumi umekuwa,nashauri wachapishe pesa mpya na kiwango cha juu cha noti iwewe buku na wafanye...
Mkuu kwanza pole sana najuwa mzazi yeyeto huwa anakuwa na raha na amani pale anapoona familia inafuraha vinginevyo full kuhangaika
nakushauli nilikuwa na mwanangu alikuwa na tatizo hilo,mpeleke kwa PROF Masawe huwa anapatikana Hindumadal hospital laikini kwa appointment neda Hindumandal omba...
Ukweli ni kwamba hapa inaonyesha kabisa Serikali yetu isivyo uweledi wa mambo na isivyo juwa kuwajibika juu ya wananch wake has wa kipato cha chini,wala lakupandisha mafuta ya taa huku wakidai wanapunguza uchakachuaji ni ukosefu wa uwajibikaji kwani kazi ya serikali na asasi zake ni kuthibiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.