Search results

  1. H

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

    Best IPTV Addons for Kodi - Watch IPTV on Kodi 2017
  2. H

    Series (Special thread)

    Any one with soft copy of season 4 game of throne plz
  3. H

    Kingunge Ngombale Mwiru atetea Mahakama ya Kadhi ITV

    Msulibasi Me si mtu wa league. Ila tofautisha kuongelea historia ilivyokuwa na uhalisia wa sasa. Aliongelea historia na ni kweli ilikua hivyo! Baada ya kuongelea hayo yote alisemaje? Akaongelea mabadiliko yaliyofanywa na serikali kuondoa hizo technical differences. Kama katoa Maelezo...
  4. H

    Kingunge Ngombale Mwiru atetea Mahakama ya Kadhi ITV

    Wadau nimegundua watu tunaweza msikilize mwalimu mmoja ika uelewa wetu ukawa tofauti. Kungunge kaongea vizuri historia ya mahakama kabla na baada ya ukoloni. Kama mmemuelewa alisema kabla ya ukoloni kulikua na mahakama 3, ya mkoloni, kimira na kadhi. Ila baada ya kupata Uhuru na kuungana kuwa...
  5. H

    Kigwangalla aja na KIGWANOMICS Je! Ni kitabu Bora au Laa!?

    Plz mwenye soft copy ya hicho kitabu arushe hapa. Kitabu ya makamba tulipata soft copy yake na ilisaidia sama
  6. H

    Polisi wakiwawinda watumiaji wa JF, wanaweza wakamata?

    ISI M.CodD! why do you feel happy to loose your identity because of the so what kuchangia mjadala! Inanishangaza sana watanzania tena vijana tutaanza kujitambua lini? Haiihitaji kuficha ID yako kama wewe ni raia wa Tanzania usiyekua na Shida! Muda si mrefu huu upuuzi utaisha. Unakuta mtu anatoa...
  7. H

    Polisi wakiwawinda watumiaji wa JF, wanaweza wakamata?

    Jifunze kuishi kwa busara, ukweli na uwazi! Huwezi kujificha iwapo wataamua kukusaka! It is very easy, simple and clear!
  8. H

    Yamenifika sijui nichukue uhamuzi gan msaada wa mawazo ninaitaji

    Wewe msikilize mkeo anasemaje. Akikuambia wa kwako kamata hiyo kijana chapa vibaya sana. Hata kupewa mtoto wa kusingiziwa ni sifa ya mwanaume anayejali. Tena vijana kama hao ndo wa kutolea mfano na ikibidi mtafutie mabouncer wamle 0713!!!
  9. H

    VIP ya Rugemalila yaita maazimio ya bunge ni ya kipuuzi

    Kwa kifupi ni kwamba pesa alizogawa lugemalira hazijafikia 10% ya income yake! MUsiwe kama kid boy anayeangalia ukubwa baada ya proportion! Wewe ukigawa buku moja kwenye elfu kumi umetoa asilimia 10% ya mapato yako. Ila 1.6 billion kati yo 70 billion is just 2% ya mapato ya lugemalira! Hivyo...
  10. H

    Mambo muhimu ya kuzingatia wiki moja kabla ya harusi ni yepi?

    Anatakiwa atindue sana Malaya especially on 5th December!!
  11. H

    Vijana wa CCM wenye malengo makubwa wamefungua shina jipya Kibaha Mjini liitwalo MTAZAMO!

    Kutatua matatizo ya nchi hii sio kuitoa CCM madarakani! Sisi tutawaonyesha njia mbadala ya kutatua matatizo yetu kwa kushirikiana na serikari iliyopo madarakani! KIMTAZAMO ZAIDI NA FIKRA ZA BUSARA!
  12. H

    Vijana wa CCM wenye malengo makubwa wamefungua shina jipya Kibaha Mjini liitwalo MTAZAMO!

    Tatizo fikra zenu sio za kujenga bali ni kubomoa! Mtuambie nyie mmefanya lipi tofauti na kuongea! Endeleeni kuongea sie tunatenda! Mlimkataa Raisi lakini sasa mnamkubali.....mlijitoa bungeni lakini leo mmerudi..si mngeondoka jumla...mlisema mtakataa mchakato wa katiba mpya leo mnajifanya...
  13. H

    Vijana wa CCM wenye malengo makubwa wamefungua shina jipya Kibaha Mjini liitwalo MTAZAMO!

    Ujumbe wetu kwa wanajamii! Tatizo sio CHAMA ila ni utekelezaji wa malengo na ilani ya CCM! Karibuni wote (See attachement ya shina letu)
  14. H

    Sitta awasha moto mpya DOWANS

    Huyu Sitta hata mie siumuelewi! haiwezekani Ngo'mbe akalala katikati ya Simba! hata kama simba hao wameshiba lazima watamlamba hata nywele! Hao wote wamoja tu! Hakuna mkweli yuko mpaka sasa CCM tena na Madaraka makubwa! Ajitoe huko then atueleze ukweli tutamuelewa Zaidi!
Back
Top Bottom