Search results

  1. Z

    mpyaaaaaa

    Welcome
  2. Z

    Hodi hodi "the great thinkers"

    Karibu sana dogo hapa kuna asali nyingi na pilipili kiduuuchu. Hihihihiiii...hahahahahahahaaaaa!..tehetehetehetehee!!
  3. Z

    Adhabu mbadala katika kesi za jinai, je zina faida katika jamii?

    natamani wataalamu wa sheria walisemee hili.
  4. Z

    UDHAMINI WA ELIMU UGHAIBUNI: AMERIKA vs ULAYA - MAKULILO, JR.

    Be blessed. May God help you all the way in your life.
  5. Z

    Walimu acheni ujinga hebu nendeni sehemu mlizopangiwa.

    Tindikalikali we ndo unaujinga. mtu yeyote ana haki ya kuongea na uhuru wa kufanya kazi pia. Walimu wangu wachague mazingira mazuri ya kazi maana sekta yao ndo imesahaulika mshahara wa mwenye degree anazidiwa na nurse mwenye diploma wapi na wapi Hebu walimu chagueni pa kwenda bwana ili nanyi...
  6. Z

    Kwa wale wenyeji wa SHINYANGA nisaidieni

    Oooooh! mimi chichemi na-enjoy tu.
  7. Z

    Ajira za walimu!

    Mvumilivu hula mbivu na mbichi km utapata sehemu ya kujipatia riziki fanya kazi uciisubili serikali.
  8. Z

    DIAGEO AFRICA: Commercial (Sales and Marketing)

    I need your email address so that I can apply the mentioned post. Please email me on serasto@gmail.com
  9. Z

    Competent Teacher Highly Need!

    please leave your contact coz other people are vistors or phone to 0752685814
  10. Z

    Sheria inasemaje kuhusu kosa la kupiga.

    mimi ningesema tu .Mwana CBE. bado natafuta mchumba ndani na nje ya forum. nahofia kumpoteza rafiki kipenzi.
  11. Z

    Sheria inasemaje kuhusu kosa la kupiga.

    If imprisonment for how long. and what will be the effect of his contract.[Government contract]
  12. Z

    Sheria inasemaje kuhusu kosa la kupiga.

    Wanajamii rafiki yangu tuko nae kazini ameshitakiwa na mkewe kwa kosa la kupiga na kumjeruhi jino, jino limelegea. Yuko nje kwa dhamana. Je sheria inasemaje kuhusu adhabu ya mtuhumiwa. Ni kifungo cha muda gani ama faini kiasi gani? Je ni zipi haki za aliyejeruhiwa anazopaswa kulipwa? Je...
  13. Z

    Sheria ya ardhi inasemaje?

    Waheshimiwa tunaweza pata hizo ATTACHMENT ZA SHERIA MPYA ya ardhi? If yes tusaidiwe ili tuwe na uelewa zaidi kuhusu ardhi na hati miliki.
  14. Z

    Viva jf!

    well come tehe tehe tehe
  15. Z

    How to Stop a Masturbation Addiction

    mkubwa naweka kwenye faili yangu kwa ajili ya guidance and counseling. ahsante sante.
  16. Z

    unyanyasaji kuhusu wosia!

    Mheshimiwa mbasajohn naweza pata attachment za sheria hizo kuhusu haki za wanandoa kunapotokea tatizo ama wakati wa urithi wa mali ikiwa mmoja wa wanandoa amefariki. Na haki za mwanamke ikiwa mme aliacha wosia ambao mke hahusiki.
  17. Z

    CD,DVD, MP3 or TAPE RECORDS. Patamu hapo.

    Tata umegusa penyewe nazidi kupata hamu ya nyimbo hizo ooh! TBC nitatia timu ili nimiliki hazina hiyo.
  18. Z

    Labda ni wewe fungua uone!

    Dogo heshima haitangazwi stendi huja automatically hata Lukansola anajua hilo. Soma kwanza raha 2chie cc. masomo mema ufike kunakostahili.
Back
Top Bottom