we kilaza au ulizaliwa kwa bahati mbaya? uanataka nidhamu ya namna gani? au tuwalambe hao vilaza wenzio(magamba) miguu yao ndio uta jua tunanidhamu!!! na hilo ni trera bado picha yenyewe!!!!! aluta continua pastor msigwa!!!!!!!
Kutokana na hujuma ambazo baadhi ya wagombea walizokuwa wakizifanya, na hivyo taarifa hizo kupelekwa makao makuu ya chama taifa hivyo maamuzi yaliyokuja ni kuwa uchaguzi usitishwe hadi hapo taarifa nyingine itakapotangazwa!
Hivyo wanachadema mbeya tuwewavumilivu na makini kwa hili
indicators za magamba zimeshaanza kujitokeza kwa baadhi ya wagombea wa nafasi ya m/kiti chadema mbeya!!
Mmoja wa wagombea anayejiita ''mzee wa upako''(john mwambigija)alikimbia kwenye mdahalo ulioandaliwa na chama ili wagombea hao waweze kujinadi lakini huyo bwana aliingia mitini. angalizo kwa...
kamanda umenena,kwa sababu waajiri wake ni sisi (wananchi wa kyela) hivyo kauweka sisi kama vilaza!!! mwakyembe............ tafakari...........chukua hatua!
hatudanganyiki tena!!mwambie huyo mbunge akamuulize mwakipesile kilichomtokea, naye alipendwa sana ila aliondoka kama mbwa! bado yeye!! mwaka 2015 jimbo linaenda chadema!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
sio kwamba namhukumu ila yeye mwenyewe alisema kila kitu kimekamilika hivyo bado ujenzi tu.hivyo atueleze kama katika bajeti fedha zimetengwa au tuendelee kumuita ''mr promise''!!!!!!!
Wakazi wa kyela naomba sana mchango wenu kwni hiyo barabara inatutesa na ikumbukwe kuwa kyela hatuna barabara yoyote iliyojengwa kwa kiwango cha lami tangia tumepata uhuru (miaka 50), hivyo ni haki nawajibu wetu kudai hiyo bara bara!!!!!! tafakari, chukua hatua!!!!
mimi ni miongoni mwa wakazi wa kyela!!!! kwenye uchaguzi mkuu 2005 mgombea ubunge wetu(mwakyembe) alituahidi mambo mengi tu lakini yaliyokuwa yametugusa sisi wakazi wa kyela hadi tukaamua kumpa ushindi mkubwa ni-
1. kutujengea kiwanda cha kusindika matunda
2. kujenga stand kuu ya kisasa
3...
wajamvi hasa mlioko mbeya tunaomba mchango wenu sana hii ni kwa manufaa ya chama chetu!!!! tusirudie kosa tena!!!!!peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!: poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer!!!!!!!!!!!!1
uchaguzi wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa m/kiti wa chadema mkoa wa mbeya sambwee shitambalala(gamba jipya) unafanyika tarehe 20/06/2011.hivyo wawakilishi wetu kwenye uchaguzi tunaomba msirudie kosa mchagueni mtu ambaye ni 1.muadilifu 2.mwenye uzalendo kwa chama 3. mtu ambaye...
Habari zenu wanajamvi! naomba kuuliza hivi raisi wetu wa awamu ya 3 kapata wapi ujasiri wakujitokeza hadharani na kutoa matamko mazito licha naye kuwa na shutuma za ufisadi, au ameishaona kuwa aliyempokea kijiti ni kilaza zaidi hivyo kaamua kuokoa jahazi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.