Search results

  1. Duble Chris

    Nimetapeliwa laki mbili

    duh hakika
  2. Duble Chris

    Nimekataa kumpongeza Mrisho Gambo

    Jeuri, anayehoji, si mwoga Swali Yote haya anamfanyia nani kwa faida ya nani ???
  3. Duble Chris

    Dr. Tulia Ackson: Situmii madaraka yangu vibaya, atoa ya Moyoni

    Kuna haja kubwa sana wakuu wa bunge kuketi chini na kuwekana sawa ili kuijenga nchi yetu Malumbano haya hayanatija kwa raia wa kawaida wao yanawajenga kwa sababu kwa sasa wanahitaji kujilikana zaidi na jamii Ila wakumbuke Tanzania ni nchi maskini watafakari namna ya kutoka hapa kwenye...
  4. Duble Chris

    Kutoka Dodoma: Fred Mpendazoe atangaza rasmi kurudi CCM

    Alihama CCM > CCJ > CCK > CHADEMA > CCM Kuna watu wana historia ndefu sana
  5. Duble Chris

    Naibu Spika awatoa nje ya Ukumbi wa Bunge, Wabunge wote wanawake wa Upinzani (UKAWA)

    Nashauri bunge lirejee kwenye ubora wake wafanye Kazi tuliyowatuma
  6. Duble Chris

    Hatimaye Zitto Kabwe akaa meza moja na UKAWA

    ni cha kusikitisha hapo sasa
  7. Duble Chris

    Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandari, aamrisha kukamatwa kwa maafisa wa TRA

    Bandarini kuna pesa ya kutosha ila sasa pamekuwa shamba la watu
  8. Duble Chris

    Sumaye awe katibu mkuu Chadema

    ni mwanachama wa NCCR
  9. Duble Chris

    Zitto Kabwe atakuwa mpweke sana Bunge lijalo

    jamani vipi JOHN MOMOSE CHEYO kura hazikutosha??????
  10. Duble Chris

    Mwenye utaalam na hizi hesabu za NEC anisaidie

    tumia four figure utaelewa tu pia tafuta antlog yake mkuu
  11. Duble Chris

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    kwa nini usiseme waziri wake ie Saada Mkuya
  12. Duble Chris

    Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    hii nchi ya ajabu sana hivi kuna watu kama huyu kumbe duh hii hatari kama kuandika tu hajui itakuaje kutoa point za msingi
  13. Duble Chris

    Elections 2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    HONGERA SANA RAIS MTEULE sasa ni zamu ya kurudisha nidhamu ya kazi
Back
Top Bottom