Ndugu msomaji wa makala hii vuta kiti chako ujifunze kitu hapa ...
Africa Ina MASHUJAA
---
MFAHAMU MWANAMAPINDUZI HAYATI RAIS THOMAS SANKARA KUTOKA NCHINI BURKINAFASO
Kama Kuna usemi umeshawahi kuusikia ya kwamba
“wema hawafi”
Basi usemi huo una ukweli ndani yake maana Mimi na wewe msomaji...
ni kwamba chadema hakuna mfumo wa vikao au inakuwaje mbona mnazungumza humu...kila siku tunasema cdm siyo chama ni mkusanyiko tu c mmeonaa eeh:shocked:
huifahamu vizuri uwt ww uliza uambiwe hawa wamama bwana wanafanya kazi na hii inatokana na uongoz thabiti uliopo juu kwao..ss hv wana vicoba na saccos kila mahala na wanatumia tekinologia ya juu ya mitandao
hapa hatuangalii kuwa na jimbo tunaangalia uwezo wa kiongozi maana km sophia simba hana jimbo mbona hata kilango hana uwaziri au utukumbushe wizara yake
uthubutu anao maana kumbuka alishawahi kugombea ilala...kwani shida nn kiongozi ni yule mwenye kuleta maendeleo kwenye jamii na siyo porojo kwani hicho kiwanda cha tangawizikimeishia wp
Acha ufitini mbona husemi tukaelewa huyo ndesa pesa anaishi kwenye nyumba ya matope...mana nyie cdm c ndio watz wa kawaida bana...acheni uchochezi huwezi mbunge mzima ukaforge elimu halafu uachiwe eti kisa utaandamana au watu watakulilia..na km kuliliwa hata rostam watu walizimia umesahau..
Ndio...
Acha ufitini mbona husemi tukaelewa huyo ndesa pesa anaishi kwenye nyumba ya matope...mana nyie cdm c ndio watz wa kawaida bana...acheni uchochezi huwezi mbunge mzima ukaforge elimu halafu uachiwe eti kisa utaandamana au watu watakulilia..na km kuliliwa hata rostam watu walizimia umesahau..
kwani lema angesema ukweli kuhusu elimu yake ingekuwaje mbona kuna wabunge ccm ni darasa la 7 na wanawatumikia vizuri wananchi wao...NA JE HUYO LEMA ANAVYOITUHUMU IKULU NA HILI LA KUFOJI ELIMU YAKE NI LA IKULU BANA NAWAAMBIA AKILI YA KUAMBIWA........LEMA USITAPETAPE WEWE KUBALI HUKUM U YAKO NA...
Mhe lusinde bado ataendelea kuwa kiongozi mahili na shupavu ndani ya chama cha mapinduzi na jamii inayomzunguka tukumbuke alisaidia mno kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la igunga..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.