Search results

  1. Idimulwa

    Mwanza: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Yapu na sana tu nakumbuka kuna siku alipigwa figisu za viwanja vya mikutano pande za Kirumba na Ma CCM kwenye kampeni za uchaguzi mdogo wa diwani..akaletewa na wavuvi mitumbwi kama yote mitaa ya Magomeni akafanya mkutano mmoja mkubwa sana akiwa ziwani/majini.Na kumbuka CDM walitetea kata...
  2. Idimulwa

    Najaribu kumlaumu Rais Samia nashindwa. Nakosa pozi

    _ Lugha za Kihuni...hizo . hapa ni JF ..Funguka ...siyo Facebook. Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  3. Idimulwa

    Najaribu kumlaumu Rais Samia nashindwa. Nakosa pozi

    Kuua Upinzani ni Hesabu hasi mno kwa CCM...Jitafakarini. Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  4. Idimulwa

    Najaribu kumlaumu Rais Samia nashindwa. Nakosa pozi

    Mungu anaenda kuamua tena... Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  5. Idimulwa

    Ujumbe wa wazi kwa Mkurugenzi maendeleo Geita Mjini

    Diwani Temba= Q Man Pub Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
  6. Idimulwa

    Rais Samia apokea Ndege mpya ya Mizigo Boeing B767-300F Uwanja cha Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Juni 3, 2023

    Buku 2 tu huwa wanakupiga,shuka Mkuu ...buku ni kubwa .. .Robo kilo ya Nyama mtoto anaongeza Protein..
  7. Idimulwa

    Jeshi la polisi lashindwa kulipa posho ya chakula ya askari mwezi Mei 2023

    Wahusika ni CCM tu.:.Lipeni chawa wenu hao muache janjajanja...hali zao mbaya,..siyo kuwa bebesha mabegi ya kura za maruhani kuwahujumu CHADEMA kwenye Chaguzi tu kisha munawatosa....!!! Nayo yamo tu...She...nzi ...Type..CCM Hoyeeee!.....
  8. Idimulwa

    Tetesi: Njombe: Jiwe la Msingi lililowekwa na Chadema kwenye Uzinduzi wa Mradi wa Maji lavunjwa

    Hujui thamani ya MAJI kwa Binadamu kweli?! CCM ni chama cha Kigaidi tu kama Intarahamwe...Nenda hata FB kule hiki kitendo kimekera wengi
  9. Idimulwa

    Tetesi: Njombe: Jiwe la Msingi lililowekwa na Chadema kwenye Uzinduzi wa Mradi wa Maji lavunjwa

    Hapo VEO na WEO wa Eneo hilo ajira shakani....CCM ni Ileile.
  10. Idimulwa

    Tetesi: Njombe: Jiwe la Msingi lililowekwa na Chadema kwenye Uzinduzi wa Mradi wa Maji lavunjwa

    Sasa kuanzia kutafuta Eneo,kuchimbwa na hatimaye kuzinduliwa Serikali haikuwepo?
  11. Idimulwa

    Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Yatakuwa bado yapo Jeshi la Polisi- Njombe...Ndiyo maana hawajatuma defenda pale kuwasambaratisha ....Mtendaji wa Kata hayajamfikia....
  12. Idimulwa

    Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Mpaka kinakamilika uongozi wa Eneo hilo hawakujua wala kuona?
  13. Idimulwa

    Tetesi: Njombe: Jiwe la Msingi lililowekwa na Chadema kwenye Uzinduzi wa Mradi wa Maji lavunjwa

    Wataalamu wa Ubora wa Maji na Jiwe la Msingi Pana uhusiano kweli?! CCM ni hamnazo milele...
  14. Idimulwa

    Operesheni +255 Mkoani Katavi Tundu Lissu Kuongoza Kikosi cha Anga kwa Chopa, Mbowe kuwa Ardhini!

    Acha ujuha ni mipango tu....hata kwenye M4C ...hili lilifanyika ,alianza Mbowe angani,Dr.Slaa akiwa ardhini,baadaye wakakutana Geita,wakabadilishana,Dr.Slaa na akina Marehemu Alphonce Mawazo,Tabasamu,wakachukua Chopa na Mbowe akaendelea na usafiri wa gari.
  15. Idimulwa

    Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Hizo kaya 150 zote ni CHADEMA au Hilo jiwe la Msingi limeandikwa pia maneno-- Kwa Wana CHADEMA Tu-.? CCM ni wachonganishi sana
  16. Idimulwa

    Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Kwahiyo Ofisi kwanza...Majii baadaye?CCM nyie ndiyo DHIKI KUU
  17. Idimulwa

    Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Ha Kwenu CCM Jukwaa La Marumaru ni muhimu kuliko Mradi wa Maji....Basi kabomoeni hicho kisima....
  18. Idimulwa

    Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Mradi wa CHADEMA??! Una maanisha nini hapo...? CCM nyie ni hamnazo..
  19. Idimulwa

    Njombe: Serikali yakasirishwa na Kitendo cha CHADEMA kuzindua Mradi wa Maji, figisufigisu zaanza

    Alisusa aliposikia anakwenda kuchangamana na CHADEMA,hata barua hakuijibu....Lingne?
Back
Top Bottom