Search results

  1. baghozed

    Biashara ya nazi Tanga - Zanzibar

    Nenda Pangani(Mwera,Ushongo,Mkwaja) huko utapata kwa bei nzuri na usafiri ni huko huko kutoka kipumbwi to Mkokotoni Znz.kwa maelezo zaidi tafuta wenyeji wa maeneo hayo
  2. baghozed

    Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Sheikh Amri Abeid Stadium | VPL

    Game ngumu mno kwa Yanga
  3. baghozed

    Maisha jijini Kigali, Rwanda yapoje?

    Zipo,nenda pale nyuma ya kigali stadium ipo 10 to 2 lodge unapata
  4. baghozed

    Kwanini umuingilie mwenza wako kinyume na maumbile?

    Tatizo kuna wengine hawajulikani mbele wapi nyuma wapi.
  5. baghozed

    Maisha jijini Kigali, Rwanda yapoje?

    [emoji3591]Hakuna vijiwe vya kahawa, [emoji3591]Maduka ya mangi na wapemba utayatafuta kwa tochi. [emoji3591]Nidhamu na Usafi ni jambo la muhimu zaidi. [emoji3591]Kagame hadhihakiwi mbele ya mnyarwanda. [emoji3591]Lugha yenye kuongewa zaidi ni kinyarwanda na kifaransa kwa hiyo kiswahili na...
  6. baghozed

    ZBC2 kama kazi imewashinda waachieni Azam

    Kuhusu mechi za CAF huwa zina masharti yake ikiwamo kutokupost mitandaoni clip za magoli.
  7. baghozed

    Video: Azam TV tunzeni heshima yenu, hivi ni vitasa feki

    Azam yeye ni mrushaji tu na mdhamini lakini hao mabondia nadhani ni kazi ya mapromota
  8. baghozed

    Tatizo lolote la PC/device

    Trojan anatolewaje kwenye win 10
  9. baghozed

    Kisimbuzi cha dish na kisimbuzi cha Antena

    Unavyosema live hayafanyiki studio ina maana hata News za studio sio Live?
  10. baghozed

    Kisimbuzi cha dish na kisimbuzi cha Antena

    Kumbuka Bei hutegemea na muda pia
  11. baghozed

    Uchaguzi 2020 Je, Uchaguzi utakuwa huru na wa haki hata kama vyombo vya habari vitaendelea na katazo la kutangaza habari kampeni za vyama mbadala?

    tatizo sio kukataza hao wanalipwa na CCM so kama upinzani unaweza kuwalipa media sioni tatizo
  12. baghozed

    Maisha halisi ya Burundi

    Rushwa kwao iko nje nje nilishangaa mno kuona maafisa wakubwa wa uhamiaji,polisi na wafanyakazi wa Airport wakiniomba rushwa. Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. baghozed

    Kioo cha Samsung S5mini

    Nahitaji kioo cha Samsung S5mini nipo Dar Mwenye nacho anicheki 0655 44 44 40
  14. baghozed

    Saudia arabia yazidi kutwanga makombora na Yemen

    Chanzo cha habari yako ni kipi? Unaposema jeshi la Yemen unamaanisha la serikali halali au la waasi wa ki houth?
  15. baghozed

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    TBC inabidi muwe wabunifu na graphics zenu mnazotumia inabidi muongeze ubunifu,picture Quality ya vipindi pia boresheni.
  16. baghozed

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco mnajitahidi kutimiza majukumu yenu ila bado kuna kero nyingi na emergence huwa haifiki kwa wakati muafaka.rekebisheni hilo
  17. baghozed

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Safi sana, Maji mtaani kwetu tunapata na yenye spidi kali mpaka bomba zinaachia.Mjitahidi kwenye kutoa taarifa za marekebisho mapema tu ili mnapokata tuwe na akiba ya kutosha.
  18. baghozed

    Barabara Rusahunga Benaco haipitiki kwa nini Tanroads Biharamulo wasitumbuliwe?

    Hiyo haifai hata kuitwa barabara ni kama mashimo ya migodini tu,gari hapo ndipo zinapohenyeka kisawasawa
  19. baghozed

    Special thread for Engineers

    TANESCO INAKUHUSU
Back
Top Bottom