Search results

  1. Twaps

    Shule ya private nzuri A-level yenye michepuo ya sayansi

    Waungwana nina binti yangu kamaliza kidato cha nne mwaka jana 2016,kafaulu vizuri masomo ya sayansi. Nimeona nijiongeze tu kumpeleka shule ya private kwaajili ya form five. Nilijitahidi mwezi uliopita kufuatilia marian girls na kandoto girls nikaambiwa walishaanza masomo mwezi wa tatu,sasa...
  2. Twaps

    Anasema Hanipendi Nilivyo, Ila Kwasababu Namufikisha Kileleni Basi Ndio Sababu ya Kuwa na Mimi

    Siku ukishindwa kumfikisha u are dead[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Twaps

    Kwanini chama cha CHADEMA hakipendwi na watu wengi siku hizi?

    kwani we unapenda chama gani
  4. Twaps

    Msaada: Nini husababisha hiki kitendo kwa wasichana

    hilo ni tatizo la hormone imbalance,anatakiwa aende kumwona daktari bingwa wa wanawake amsaidie,tatizo hilo pia linaweza msababisha asipate ujauzito,so nivema aanze kulishughulikia kabla hajaolewa.
  5. Twaps

    Natafuta dada wa hiari

    Dada wa hiari ndo anakuaje
  6. Twaps

    Division IV ya point 40

    Wadau naomba mnisaidie katika hili. Mwanangu ni amefeli kidato cha nne kapata daraja la nne na pointi 40,hataki kurudia (Kureset) sasa naumiza kichwa nimpeleke chuo gani aweze kujiendeleza kimasomo. Matokeo yake ni kama ifuatavyo: Math F Biology E Civics E Geography E History F English D...
  7. Twaps

    Naomba kujua tiba ya tatizo hili

    Kwenu wana JF, Nimekua nikitokwa na vipele kama vijipu uchungu kwenye mapaja yangu kwa musimu,yani kinaweza kutokea kipele kimoja au viwili,kikitokea eneo lilipokizunguka panakua pekundu baada ya muda kinapotea kinaacha alama nyeusi,Ninaweza kukaa muda mrefu bila kupata ila ni tatizo...
  8. Twaps

    Natafuta Semina inayohusu Micro credit/microfinance

    kwenu wanadau, Nahitaji kuhudhuria trainings na seminers zinazohusiana na mambo ya mikopo na nyingine zinazohusiana na hizokwa yeyote mwenye ufahamu ni wapi nitapata mafunzo au ni nani hua wanaendesha mafunzo hayo naomba anijulishe.Natanguliza shukrani zangu.
  9. Twaps

    Ndugu yangu huyu ni gay?

    Be careful
  10. Twaps

    Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    Ipo siku utakuja kumwambia mkeo kua shetani ndo alisababisha,watch out kabla chumvi haijamwagikia mtungini ukashindwa kuitia ktk mboga
  11. Twaps

    Ni dawa gani zinazoweza kumfanya mwanamke kubeba mimba ya mapacha??

    Hapa tz ni hosp gani wanafanya hayo mambo??
  12. Twaps

    Naomba kujua ubora wa dawa hii (Clomid)

    Thanx mzizi mkavu ngoja nisubiri results zake
  13. Twaps

    Ni dawa gani zinazoweza kumfanya mwanamke kubeba mimba ya mapacha??

    Upo serious??mkwanja mrefu kuanzia sh ngapi?? nataka nifanye mpango wa kukutana na dr anifanyie hiyo kitu
  14. Twaps

    Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

    Kufungua file shs 10,000 bt hua ana wagonjwa wengi so inabidi kuwahi kwenda ama ukichelewa utakuta watu wengi.
  15. Twaps

    Msaada tafadhali

    Nimemaliza chuo mwaka jana Ba. Business Administration nipo kwenye kampuni moja changa nafanya tempo ila wakati natafuta kazi sehemu nyingine mpaka sasa sijafanikiwa.Naomba ushauri ni sehemu gani nikaombe intership ili angalau nipate experience na iwe sehemu ambayo ni rahisi kwangu kuajiriwa...
  16. Twaps

    Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

    Laana gani hii jamani
  17. Twaps

    Bi dada... Utafanya nini? Mmeo anatembea na binti wa Salon...!

    kah hao wanawake am sure sio kwamba hawamjui mkewe bt wamefanya makusudi tuweka loudspeaker,japo ni ngumu kumeza ntakaa na kumaliza shughuli zangu thn home ndo kingeeleweka
Back
Top Bottom