Search results

  1. Kelvin mwalukas

    Mabosi zangu wananiandama bila sababu

    Well understood now! huna PR nzuri. That's the problem. Work on it
  2. Kelvin mwalukas

    Mabosi zangu wananiandama bila sababu

    Imewahi Nikita hii kwenye flan ya kiselikali, mpk nikaachishwa kazi kwa zengwe kubwa mmmno!. Iko hivi, no matter what, baada ya kujua kasoro za mabosi wako, tenga muda wa kutafuta kasoro within yourself and be super honest, firm and fair. Nilipojitafakari, nilikuja kugundua Nina kasoro kadhaa...
  3. Kelvin mwalukas

    Sumu ya kuuwa kunguru

    Mkuu Huyo mtu bado yupo hayo maeneo
  4. Kelvin mwalukas

    Badili mtazamo wako kuhusu BMW

    Reliable website au Chuo mkuu. ..
  5. Kelvin mwalukas

    Badili mtazamo wako kuhusu BMW

    Wadau nahitaji kua Fundi wa hizi gari, yaan gari zote za kijerumani kwa kutumia computer. Ni wapi naweza kupata elimu sahihi ya hui kitu, kwa kwenye ujuzi tafadhali
  6. Kelvin mwalukas

    Mein Kampf: Pambano la mbwa mwitu wa Magharibi pasipo kufa

    "balls of steel" Nakuelewa sn ndg yangu, hicho kitabu nimekipata juzi kati, kurasa mia tano hivi, 'mbwa mwitu wa kijivu' plse include me in your tag list
  7. Kelvin mwalukas

    Kampuni ya Uchimbaji gesi ya Statoil yasema inafikiria kusitisha uwekezaji wake TZ, serikali imeibadilishia gia angani

    They need our package we need theirs, I think wakuje km wakandarasi na si wawekezaji, wameiba vya kutosha. Na waende tyu
  8. Kelvin mwalukas

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Blessings OntariO. Guys tupigen kitabu, to my surprise yaan leo ndio naanza demo, sijui nimechelewa? Mwe! nilikomaa na vitabu na you tube videos OtherWise, i wish Ontario all the Best of Best Wishes alifanikishe hili Pis Hunters woote Barikiweni sana.
  9. Kelvin mwalukas

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ontario Barikiwa sn Mkuu. Hakika Mungu atakulipia, tunakuombea Mema pia.
  10. Kelvin mwalukas

    Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

    Umeniwahi mkuu, 'Internal' ngoja na mimi niweke nukta . nilifanikiwa kupata the book of Enoch, kaazi kweri kweri.
  11. Kelvin mwalukas

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Big Up Mkuu Ontario Bado nabukua, naanza kitabu cha tano leo. Sema nini,yakikukuta ya kutumia mabavu usikonde, just one PM natia maguu.(In a very serious way) Otherwise tunakuombea Kheri Mkuu. Guys Pigeni Kitabu. God Bless Us.
  12. Kelvin mwalukas

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu Ontario Heshima Kwako Mkuu! Since Day One. Wakuu wangengine woote i salute You all Tangu huu uzi umeanzishwa nimewahi kupost mara moja tyu! but nimesoma every single page ya huu uzi. from there nikadownload a number of books, yaan vingi vingi sana. na i am serious navisoma, although mwanzo...
  13. Kelvin mwalukas

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    wakuu i salute you all msaada wa jinsi ya kudownload Meta trader, kila nikidownload nashindwa kuiinstol, msaada wakuu, nifanye gan
  14. Kelvin mwalukas

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Ila mkuu Saluti sana kwa huu uchambuzi, binafsi naamini uwepo wa hawa viumbe
  15. Kelvin mwalukas

    Kuiper Belt: Behind the certain

    Mkuu wangu Eiyer Saluti. Hizi habari zamani sana Babu yangu amewahi nisimulia kwamba miaka mingi nyuma, wamerekani wamewahi waokota binadamu wawili wasio wa kawaida, wanaoaminika kutoka sayari nyingine, walipojaribu kuwakamata mmoja akakimbia kwa kupaa kwenye kitu kama kisosa kikubwa hivi na...
Back
Top Bottom