Search results

  1. H

    Uchaguzi mkuu UK: 20-year-old who beat a Labour heavyweight

    ===================== UPDATE: SNP wamewafuta Labour na Lib Dem ndani ya mipaka ya Scotland kwa kushinda wabunge 56 kati ya jumla 59 (kutoka wabunge 6 tu uchaguzi uliopita 2010). Labour wameambulia mbunge moja tu, wamepoteza vigogo 40. Lib Dem nao wamepata mbunge moja tu na kupoteza vingunge...
  2. H

    Laptops needed

    Kama hii hapa, nikuwekee kwenye FEDEX + charges. 3546-8444 - Dell Vostro 15 3546 - 15.6" - Core i3 4005U - Windows 7 Pro 64-bit / Windows 8.1 Pro 64-bit downgrade - 4 GB RAM - 500 GB HDD - PC World Business
  3. H

    DIASPORA yupi aliyefanikiwa kiuchumi, kisiasa na kijamii awe mfano?

    Nyugunyugu wa mama Matola http://www.keele.ac.uk/scm/staff/academic/drthomasneligwa/ https://twitter.com/tomneligwa
  4. H

    Hii Nyumba inapangishwa mbezi beach

    CYBERTEQ inaonekana ni nyumba ya kwanza ndio maana anachemka hivyo. Hajui watu wanatafuta pango kwa sababu ya mipango ya maisha na sio kwa sababu hawana hela ya ujenzi.
  5. H

    Hii Nyumba inapangishwa mbezi beach

    Kaka Dalali that is where you are totally wrong. The owners philosophy is the business.
  6. H

    Hii Nyumba inapangishwa mbezi beach

    Aisee wewe hovyo sana. Hivi atakayekubali uwe landlord wake labda awe mwanafunzi asiyekuwa na alternative. Ushauri mzuri, unatemea mate. You are an idiot, lakini you aren't the first - nimeona wengi tu humu wenye tabia kama yako. cc: Kaka Dalali
  7. H

    Hii Nyumba inapangishwa mbezi beach

    Kaka Dalali - if those are your metrics of manhood, then I am really out; I have no idea why this type of people still exist. Unataka biashara, halafu unaringa. Sad.
  8. H

    Hii Nyumba inapangishwa mbezi beach

    Tangazo la kufichaficha lina mambo. Utapata mwingine Kaka Dalali. Over and out!
  9. H

    TOYOTA RAV-4 brand new mpaka kufika Dar ikilipiwa ushuru na usafiri hugharimu zaidi ya Mil 120

    Kwanza, Kinachofanya bei ya gari kuwa kubwa sio jina tu, bali add-ons (vikolombwezo ambavyo kila mtu anataka). Base price inaweza ikawa £15,000 kwa basic model, lakini zingine zinaanzia £27,000 bila luxury accessories. ukiongeza vifaa mbali mbali vya ndani ya gari vinaweza fika mpaka...
  10. H

    Hii Nyumba inapangishwa mbezi beach

    Kaka Dalali - ongeza picha za ndani. Halafu 'toilet public' ya kuchangia na nani. Hiyo nyumba ya uani?
  11. H

    Jinsi ya kufanikiwa na elimu niliyo nayo

    Stany Sawa kuomba radhi, lakini mbona sijakuelewa?
  12. H

    Uzee sasa basi, wamerekani wagundua dawa

    Kifai umechelewa wapi? Mbona biashara au organ donation ya figo, maini, ngozi, n.k ni kitu cha kawaida sana siku hizi kwenye nchi zilizoendelea? Especially kama mtu amekufa kwa ajali ya gari madaktari wanawahi kung'oa viungo kabla havijapoa. Hapo ni zaidi ya artificial transplants: metal...
  13. H

    Jinsi ya kufanikiwa na elimu niliyo nayo

    mckenzie inawezekana Stany alikuwa anakariri ili afaulu mitihani, matokeo yake ndio haya ...
  14. H

    Watoto Wachanga Wanavyotupwa au Kuuwawa na Wazazi Wao

    Naomba nirudishe tena hili swali: Tutawezaje kukomesha hii tabia? Je, ni watoto wangapi wamepoteza maisha yao bila kujulikana? Ukweli ni kwamba kama kila mtupaji wa hawa watoto angekuwa anakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria, huu ukatili ungeshakoma zamani. Soma kwa mfano: 1)...
  15. H

    Quality Group (Motors) Tanzania

    Does anyone know whether this company is still involved in bus/coach building business and what are their rates? Co Website is pretty basic: Welcome to Quality Group :: QML Thanks
  16. H

    Bus/coach builders in tanzania

    Thanks. Nimeangalia kwenye Website yao haina detail sana. Haisemi chochote kuhusu bus building - sana sana ni dealers wa Honda, Isuzu na Iran tractors. Ukipata zaidi tusaidiane tafadhali.
  17. H

    Radio SAFINA Arusha - BWANA ASIFIWE?!?

    You wish! Mimi wa hapa hapa. Unafikiri huyo "Zanzi" ana muda wa mahubiri? Sijui kama wameweka pia kwenye youtube. Ilikuwa seminar or something like that. Anayejua zaidi atupe detail
  18. H

    Radio SAFINA Arusha - BWANA ASIFIWE?!?

    Hapana aisee! Ndivyo ilivyo - tena nimefupisha mno. Waulize Radio Safina wenyewe uone kama watakanusha! Nisingeandika chochote kama mahubiri yangekuwa na Injili.
  19. H

    Bus/coach builders in tanzania

    Marafiki, Tafadhali tusaidiane contact details za makampuni wanayotengeza mabasi (coach/bus body builders) na bei zao/ushauri. Nataka kulinganisha ipi nafuu kati ya kununua injini na kujengea bus Dar au kununua Marcopolo zima zima likiwa tayari (price range 50m-100m TShs). Natangulisa Asante!
  20. H

    Radio SAFINA Arusha - BWANA ASIFIWE?!?

    Mhubiri anasema: Eti TAJIRI anakubalika kwa KILA dini! Ukitaka kuwa KIONGOZI wa nchi lazima uwe tajiri! Watu watakuamini kutunza pesa zao! Anatamani sana vijana wadogo wa Marekani walivyotengeneza mabilioni! Anasoma Biblia gani huyu? Anatumia/tafsiri mistari ya bible kama apendavyo yeye...
Back
Top Bottom