Wakuu,
Screen yangu inadisplay rangi kama njano fulani hivi. Hali hii inasababisha macho kuumia wakati wa kutumia computer. Nifanyeje kutatua tatizo? Msaada tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshtakiwa mahakamani kwa na mtu ambaye nilimkopa pesa kwa makubaliano ya kurejesha na riba ya 30% mwezi wa kwanza nikamlipa riba tu. Mwezi wa pili baada ya kuona sijamlipa riba yake + hela niliyomkopa, akaamua kuja kuchukua dhamana nyumbani.
Imepita miezi 10 ameamua kunishtaki mahakamani...
Hello,
Nahitaji mkopo wa kiasi cha tsh 1,000,000.00 (Milioni moja) wenye riba nafuu. Nina dhamana ya nyumba iliyopo Kitunda Dar es salaam. Tafadhali ni PM
Habari wakuu,
Kwa muda mrefu nimekuwa naipenda sana kazi ya Usalama wa Taifa. Ingawa najua kila mtanzania mzalendo ni Usalama wa Taifa lakini mimi naitaka kazi hii kwa urasmi kabisa.
Awali nilihisi kuna chuo cha mafunzo ya kusomea Usalama wa Taifa lakini baada ya kufanya utafiti na kuendelea...
Karibu sana Mbeya, njoo ustarehe kwenye hotel nzuri ipo Soweto Karibu na Chuo cha TEKU. Ni mahali tulivu sana. Panaitwa Star Inn, gari la hotel litakufuata airport, Stesheni au Stand Kuu. Ni PM kwa mawasiliano zaidi. Karibu
Bei ni 20,000/- hadi 35,000/-
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.