Search results

  1. Borakufa

    Gazeti namba 1 Tanzania

    Raia mwema generali amegeuka kama mzee warioba na butiku ha ha ha!
  2. Borakufa

    Gazeti namba 1 Tanzania

    Wameshikwa pabaya ma ma ma ma!!
  3. Borakufa

    Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Ukibwia pilipili nyingi lazima uwashwe huko chini!!
  4. Borakufa

    Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Ndugu utakuwa unaliwa vibaya sana huko nyuma!! polisi tz hawawezi kuaminika abadan Lema yuko sahihi! Waliomuua aliyekuwa mwenyekiti wa kata ya usa river jimbo la arumeru mashariki walitoroka mbele ya makumi ya polisi mahakamani na mpaka leo hawajapatika! polisi polisi polisi wa tanzania! wamejaa...
  5. Borakufa

    Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Nakuona unavyoifeel pipe huko unakotolea kinyesi!!! Laanakum
  6. Borakufa

    Abiria 17 waliokuwa wanasafiri kwa Basi la Kampuni ya BATCO wanusurika kifo

    Hiyo dawn ya pida ni noma! na hivi wachina walivyoijenga upya hiyo barabara....ni hatareee! Poleni wafiwa na mungu awaponye haraka majeruhi.
  7. Borakufa

    Magufuli amtembelea Dr Helen Kijo-Bisimba

    Lengo lilikuwa ni kumuua huyu mama,lakini jaribio limekwama.
  8. Borakufa

    Yupo wapi mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali?

    wamemchinjia baharini na kama kafulila
  9. Borakufa

    Wabunge wa UKAWA wameshasaini Bungeni!

    ha ha ha ha Dah aisee wewe ni hatareee
  10. Borakufa

    Mbowe, ni wakati wa fikra mbadala

    Alishasema uchaguzi ujao wa chama hagombei! mbona mnamsakama.
  11. Borakufa

    Ushauri: Vyama vya Upinzani vifutwe, kibaki CCM pekee kama chama dola

    Mioyo iliyopondeka masikini! Tusikate tamaaa,kwani kizazi kinabadilika ipo siku tutapata uongozi wenye kutujali raia na si kama huu unaomalizika na utakao anza wiki ijayo lakini pia huwezi jua pengine mzee wa hapa ni kazi tu akawa kama alivofanya P.Bother wa sauzi miaka ya 90! aliwageuka...
  12. Borakufa

    David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

    Akisha baki mwenyewe? ili nini yani?
  13. Borakufa

    David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

    Halafu huu utaratibu wa kuwepo mwanya wa kuhesabu upya lazima ufutwe! Unatucheleweshea matokeo sana! Yani ni lazima uwekwe utaratibu ambao matokeo ni lazima yatoke haraka! Mwaka huu labda tutavuka salama lakini 2020 Itakuwa shida sana.
  14. Borakufa

    David Kafulila: Tume inataka kunihujumu Kigoma Kusini

    Komaa ndugu maana mkosamali keshazamishwa! Mawakala wanamalinzwa ile mbaya! Kama musoma mawakala walilambishwa mm wakaisha.
  15. Borakufa

    Mtatiro: UKAWA imeinyanyua CUF

    Pole na hongera Mtatiro, wewe na wenje mmeniuma sana! Na mbaya zaidi wewe kura zako zimepunguzwa na mgombea wa chadema na Wenje kura zake zimepunguzwa na mgombea wa cuf nyamagana.
  16. Borakufa

    Huyu ndiye adui namba moja wa ustawi wa siasa za Iringa na viunga vyake

    Usilete ukabila wako hapa kama watu wa mwanza na musoma walivyofanya!!
  17. Borakufa

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kweli mkubwa,mwanza wamepiga kura kisukuma na katika kampeni zao hao walioshinda walikuwa nasema kabisa katika majukwaa kwamba iweje mchaga na mjuruo wawe wabunge wa wasukuma? Pia musoma wakwaya wampa mkwaya mwenzao veda wamemweleza nyerere mzanaki akagombee kwao busegwe butiama
  18. Borakufa

    Piga Kura Linda Kura ndani Mita 10

    Wanaume mkifika vituoni hakikisheni mnakuwa watulivu sana halafu msiwe na haraka ya kuwahi kupiga kura! Hakikisheni mnawatanguliza wadada,wamama,wazee,walemavu na wagonjwa! yani kueni bize kuuliza nani anajisikia vibaya atangulie kupiga kura! Yani mdogo mdogo! wengine mnaweza kujiangusha vile na...
Back
Top Bottom