Search results

  1. G

    Mbowe aupatia ufumbuzi mgogoro wa CHADEMA Karatu!

    wee mbona una akili za sumaku ? yaani mtu akiponda gwanda basi lazima atakuwa gamba? kwa hiyo kama kuna ***** unafanyika ndani ya chadema, watu waendelee tu kuipongeza..ukiuliza nini eti wewe ni chadema? haki ya nani hiyo ni akili ya sumaku.
  2. G

    Mbowe aupatia ufumbuzi mgogoro wa CHADEMA Karatu!

    potelea mbali wakiniban maisha, lakini ujumbe wangu umefika.
  3. G

    Singida: Diwani wa kata ya Iseke ajiuzuru

    shallow minded!
  4. G

    Mh Nassari leo kaonyesha uanaume

    na dada yako!
  5. G

    Mh Nassari leo kaonyesha uanaume

    Hata kuandika kiswahili unashindwa? Hatari kweli kweli.
  6. G

    Mh Nassari leo kaonyesha uanaume

    nyinyi watu humu ndani JF ni wap*mb*vu sijawahi kuona. Mnamsifia Nassari kwa kufanya kazi ambayo ni wajibu wake kama mbunge? Mbona wakifanya ccm kazi zao na watu wakiwatetea nyinyi magwanda mnakuja juu kama mmepigwa vijiti vya masaburi ? Ebu tulieni alaaaa
  7. G

    Kufuru Katiba Mpya: Kila mjumbe wa Tume analipwa Sh milioni 294 Baregu, Warioba wapata kigugumizi

    wewe utakuwa Freeman Mbowe tu....kuna siku alisema hayo hayo uliyoyasema wewe ( bora wakoloni wazungu )
  8. G

    Mh Nassari leo kaonyesha uanaume

    wivu wa kijinga huu.
  9. G

    Ambulance na Chopa za CHADEMA bado azijafika kutoka Uingereza au ilikuwa usanii wa Lema

    hawa magwanda poyoyo kabisa, achana nao watakupotezea muda.
  10. G

    Mh Nassari leo kaonyesha uanaume

    kichwa cha habari kinapotosha. uanaume= utupu
  11. G

    PICHA: Sherehe za CHADEMA diaspora

    hahaaaaa umemuona Jasusi kumbe hapo picha ya mwisho. Alikuja na ukoo wote. Anajua kunyuka pamba kisawa sawa
  12. G

    I voted for Romney, I feel good

    upo state gani ??
  13. G

    TID atukana hewani (via Clouds FM)

    hata wewe pia
  14. G

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    wakati kanumba anaanza kutoka kwenye runinga, nilihisi ni msomali fulani.
  15. G

    TID atukana hewani (via Clouds FM)

    sidhani kama kuna chochote tofauti ningefanya na alichofanya t.i.d
  16. G

    Jamani anayejua dawa ya kuumwa na Nge

    amini usiamini, niling'atwa na ng'e zamani, bibi yangu akamchukua yule ng'e akamchoma na kisha kusaga majivu yake kwenye ile sehemu niliyong'atwa, Guess what? it worked like magic. Si lazima uamini.
Back
Top Bottom