Search results

  1. L

    Mkuu wa Wilaya Manispaa ya Tabora analazimisha walimu kuchangia Mwenge na Sherehe za Uhuru

    Mkuu wa wilaya ya manispaa Tabora mjini ameonja joto ya jiwe baada ya kutaka kuwachangisha walimu mchango wa sherehe za uhuru na mwenge walimu walimuchachafya kwa hoja kwenye ukumbi wa uhadhili mpaka akakimbia. Anataka akusanye sh 280,000,000 milions kwa ajili ya miaka 50 ya uhuru na mwenge...
  2. L

    Walimu UDOM waikataa CWT

    kwanza sheria ya kuingia uanachama wa chama hicho ni kandamizi.Eti kila anayeingia kazi ya ualimu automatically ni mwanachama. wanakata bila idhaa yake. Huo ni uhuni.
  3. L

    Wabunge aina ya Aden Rage hawatatufikisha popote kimaendeleo

    Nashukuru sana wana JF kuibua hoja kama hii, huyu jamaa hafai hata kidogo, muda mwingi yeye na Simba sport wala hajui matatizo ya wananchi wa Tabora kabisa, Manispaa ya Tabora ni moja manispaa zenye shida nyingi ikiwa pamoja na uongozi mbovu sana. Upande wa Elimu idara ya Sekondari kuna matatizo...
  4. L

    Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

    Big up, nimeipenda hiyo tunaka viongozi wa mfano kama Mbowe. Watu wa chama cha magamba najua watakejeli kwa sababu ni mamiani wananyonya damu ya watanzania wanao kufa kwa utapiamlo na njaa. upepo unakuja na utawazoa mapema sana na tutawasahau kama alivyosahaulika Chiluba kule Zambia.
  5. L

    Je Mbowe amemkaanga Dr. Slaa?

    Inaonyesha wewe ni wa chama cha magamba ndo wamekutuma, na sijui kama unaakili timamu au ni akili ya makamsi, na nafikili magamba wakulipa posho kubwa sana, ndo maana bado umeng'ang'nia gamba hadi ufe na gamba mwilini. shauri yako.
  6. L

    Hoja bungeni: Salvatory machemuli: Jembe la ukweli la chadema ukerewe

    endeleeni kutujuza wanajf, maana huu ni muda wa mapambano ili kuondoa magamba ambayo yametumasikisha vya kutosha.
  7. L

    Bungeni: Mbowe aweka msimamo wa posho

    Nimeipenda hiyo wanajf, ufike wakati viongozi waonyenshe uzalendo kwa vitendo badala ya kuuimba majukwaani huku moyoni hawamanishi hicho. haiwezekani mtu kwenye inchi masikin kama tanzania asafiri kwa bussiness class badala ya econmy class. ni muda mwafaka watu wa magamba kujiweka pepembeni kama...
  8. L

    Zitto amwambia Makinda nipo tayari kuvua dagaa kijijini kwetu

    Unaakili timamu lakini au ndio akili ya magamba?
  9. L

    Wabunge wa CCM kuweni wazalendo japo kidogo!

    Msiwashangae hayo ni mabaki ya magamba.
  10. L

    Halima Mdee: Hatujaja Bungeni kuuza sura

    Namkubali Mdee kaongea pointi zote, wale wa Magamba nafikili wanalitambua hili. very consistency and accurecy.
  11. L

    Serikali yafanya kufuru, Yatumia milioni 50/- kumlipia Waziri Hoteli

    Usiseme hivyo huu ni ufisadi wa hali ya juu. huwezi kuishi hotelini kwenye inci kama tanzania inayo zungukwa na masikini wengi hivyo. chekecha mbongo ndugu yangu. ila kwa sababu tunaongozwa na magamba ambao ni mafisadi hatuwezi kushangaa kuona hivyo.
  12. L

    Madai ya Mpendazoe yakutwa na dosari; Mahakama Kuu yatoa amri ya kuondolewa kwa kesi

    Mpendazoe hawezi kushinda hiyo kesi. Maana mahakama inakuwa controlled na chama cha magamba, ila kiukweli hata magamba wenyewe wanajua kabisa kwamba walimwibia mshikaji kura zake.TZ mkuu hamna haki kwa mtu ambaye hanacho.Mpendazoe hawezi kushinda ila uchaguzi mwingine atashinda.
  13. L

    Wabunge wetu na mabinti wa vyuo!

    Mkuu mimi sina shida na kuchukuliwa kwa mabinti. Sisi tunataka ukisoma elimu iweze kukukomboa utambue baya na zuri.lakini unapokuwa unasoma chuo kikuu harafu unachukuliwa kama changu doa elimu haijakusaidia. waache tu elimu ikiwasaidia wataacha.
  14. L

    Wilaya ya Korogwe mjini Vip?

    Huwezi amini hadi lleo walimu wapya bado hawajalipwa pesa ya mizigo ili hali wilaya zingine tayari zimeshawalipa. wanajamii tusaidianeni mawazo hapa kuna tatizo.
  15. L

    Manispaa ya tabora idara ya sekondari kuna nini?

    Ndiyo naamanisha hapo jimbono kwa rage, ndo kuna matatizo hayo:mod:
  16. L

    Manispaa ya tabora idara ya sekondari kuna nini?

    Mimi nashangazwa na Manispaa ya Tabora Kupitia kwa Mkurugenzi na Afisa elimu idara ya sekondari, kwa kuamua kwa makusudi kabisa kutotenga fungu la kusomesha walimu kwenye budget, eti kwamba manispaa ya Tabora haina mpango huo. Cha kushangaza manispaa ya Tabora hata walimu walioko masomoni...
  17. L

    Dk. Slaa amlipua Lukuvi; Awarushia pia kombora Chami, Simbachawene

    Inaonekana wewe ni magamba, ukiwa waziri kwenye ofisi ya umma kwa nini ujichulie tender, usiache watu huru. lukuvi na chami wanatakiwa kuchagua moja biashara ya ujasiliamali au uwaziri. ila kwa sababu magamba ndio utaratibu wao hatushangai sana, ila the time is coming sio mbali tutawang'oa...
  18. L

    Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

    Kigwangala unatuaibisha sisi watu wa pande unazoongoza maana badala ya kushughulikia kero za wananchi wa nzega umeanza tena kufuatlia personal issues za dr slaa amaye usomi wake hauna mashaka. watu wa nzega wanahitaji, umeme, maji, shule ,walimu, hospitali ambavyo ni kidogo sana, kule ndala...
  19. L

    HAMAD RASHID katika Njama za Kumng'oa Maalim Seif?

    umetumwa na magamba kusema hayo
Back
Top Bottom