Search results

  1. S

    Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

    Mim sitoi sana Wasifu wa Dr.SLAA,ila nataka kutoka maelezo kuhusu elimu inayotolewa na kanisa katoliki,DR.HAMISI,anaonekana hapa amecomitt fallacy of ignorant,maana hajui anachokisema,elimu inayotolewa na kanisa katoliki ni elimu bora,DR.SLAA amesoma falsafa,ndani ya falsafa kuna matawi...
  2. S

    Usomi wa Slaa una maswali kuliko majibu! Doctarate yake ni ya Kupewa - Kigwangala

    Mheshimiwa,naomba kujua kirefu cha PHD,na kwa nini unasema Dr.SLAA elimu yake haina kiwango?na huku anaitwa Dr?
  3. S

    Tundu Lissu na Wenzake waachiwa kwa dhamana na masharti magumu

    mim nauliza kwanini Tundu Lissu anakatazwa kwenda Nyamongo?Hana haki ya kwenda kule?
  4. S

    HODI HODI Jukwaani

    Hodi hodi jukwani mim ni mwanacha mwenzenu kwenye ulimwengu wa philosophers
  5. S

    Jamani ukipenda Ua basi penda na boga lake

    hilo ni kweli,kila jamii ina desturi yake,kwa waafrica extended family haiepuki,chakufanya ni kushauriana yapi ya msing ktk maisha yenu,
Back
Top Bottom