Search results

  1. E

    Jukumu na kuajibika

    Jameni! nijambo la kushangaza kwa vijana wa umri ndogo kupoteza mwelekeyo,hivi ni kuwa mtu unalelewa kama mwelekeo huna,wazazi huwasaidii,shule unaenda shingo pande,kuamka ni saa tano,kazi twachukuwa miaka kuchagua,mungu tumemsahau......jameni!?
  2. E

    Nisaidaeni ushauri wa kisheria na kimaadili wana Jamii forums

    Kosa ni kosa kakangu,kitendo ushaa kitende ambalo ni kosa na kwanza kabisa nakupongeza kwa utu wako wakutotaka kumtoa uhai mtoto ambaye atajitokeza hivi karibuni.Wakati huu kwako mwenzangu ni wakati wastahili kuonyesha utu,ujasiri,uanaume,na upole,kweli wewe ni binadamu kama mimi na wale wengine...
Back
Top Bottom