Search results

  1. R

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Wale Mabaeberu hatimaye wameweza kufanya waliyokusudia nacho ni kufurahia kutoa uhahi wa Shujaa wa Africa, Haitoshi wanaudhihirishia ulimwengu kwamba Unyama ndiyo jadi Yao, Muhamar Gadafi Daima utakumbukwa kwenye Historia ya Maendeleo na Mageuzi ya kisiasa na kiuchumi Barani Africa, Kapumzike...
  2. R

    EWURA Tracking POST

    Kwa muda sasa kumekuwa na dalili za waziwazi kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na maji kushindwa kuleta tija kwa watanzania licha ya kuwa kwa kiasi kikubwa imekuwa ikikusanya pesa za wanachi ili kujiendesha, kwa mfano kila mtumiaji wa umeme anatozwa 1% ya utility charges kama mchango kwa EWURA...
  3. R

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu yaanza kukata madeni kwa formula mpya!

    Kufutia Bodi ya Mikopo, kuanzisha utaratibu mpya wa makato ya mikopo kuonekana kutoridhisha wengi nahisi kuna haja ya kulipatia ufumbuzi, ikiwa ni kuweka utaratibu wa link ya wadau wote katika kupitisha sera kama hizo, Kupata utaratibu wa mtu kupata statements ya account yake, Na...
  4. R

    Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu yaanza kukata madeni kwa formula mpya!

    Jamani ni mwezi wa pili sasa watumishi mbalimbali wa Serikali Kuu na Taasisi zake ambao wameanza kukatwa malipo na Mfuko wa Board ya wanafunzi wameshuhudia utaratibu mpya wa makato hayo, Awali walikuwa wakikata 31,000/= flat kwa wote wanaostahili, sasa wamekuja na formular mpya ambayo wanadai...
  5. R

    Makato ya loan board

    Wadau ni aje? jamani kwa wlio soma kwa mikopo mmeshuudia makato ya mwezi uliopita mbona yamepanda ghafla mpaka kufikia sh 150,000/= toka sh 13,000/= naomba ufafanuzi kwa mwenye taarifa sahihi.
  6. R

    Mshahara mpya kutangazwa leo

    Binafsi nahisi kuna mkakati mkubwa na wa dhati unaotakiwa kuchukuliwa na serikali badala ya kukumbizana na inflation tena kwa kundi dogo tu la waajiliwa, wakati tunaambiwa zaidi ya Asilimia 80% ya Watanzania wako kwenye sekta isiyo rasmi. tunapozungumza sasa hivi lita moja ya mafuta ya taa ni...
  7. R

    Posho za Ubunge nazo zifutwe

    Hivi karibuni kumekuwa na mjadara mkali kuhusu posho za wabunge kufutia pendekezo la mh Zitto Kabwe kutaka zifutwe, Kwa mara kazaa nimepata kuona msimamo wa spika kupitia vyombo vya habari, na pia kupitia mwanachi ya leo nimepata kuona msimamo wa serikari kupitia waziri mkuu Mh Mizengo...
  8. R

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    Binafsi nalitazama kwa mtazamo tofauti hili la zitto, nafikili na suala la ujasili na uzalendo zaidi, kwani issue hapa ni kupereka message na kusimamia anachokiamini na kutekerenza kwa vitendo ni jukumu la viongozi wetu kwa maana ya wabunge na pengine na mawaziri wetu kuchukua hatuta madhubuti...
Back
Top Bottom