Search results

  1. J

    Rais aagiza Lema aachiwe kwa dhamana ya serikali

    Mmmh kumbe ni tetesi tu!
  2. J

    Arusha kumekucha

    Napata supu hapa naona daladal zinapita,tax na pikipiki kama kawaida wanapita! Chadema wangetoa fungu kwa kila daladala na tax ili jioni wapeleke hesabu kwa matajiri wao kama kawaida! Ni ngumu kufanyika afadhali wamiliki ndio wange sema wagome!
  3. J

    Arusha: Mkuu wa Mkoa awatoa hofu wananchi juu ya mgomo wa daladala/pikipiki

    Lema msanii sana anacheza na akili za watu wa Arusha anawapeleka kama pimbi! Hata akisema watembee uchi watafanya tu! Lema kuna siku atatembea uchi kupinga uonevu wa polisi kwa CDM na watu wa Arusha watampa support kwa kutembea uchi! Atakunya barabarani kulaani uonevu wa Polisi na machizi wake...
  4. J

    Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

    Dr Slaa nae nasikia anataka ajipeleke Gerezani kuchuana umaarufu na Lema!
  5. J

    Houston wakataa Taarifa za Uongo kuhusu Ziara ya Nape

    Nashauri maswala ya Wakimbizi wa USA tuache wajadiliane wao wenyewe(wakimbizi-wakimbizi)hapa bongo tuna mambo mengi yanayotukabili
  6. J

    CHADEMA wapinga muswada wa mchakato wa katiba mpya

    Hana sera huyo Padre alie fulia,kwanza hata hapa JF wamemshitukia hawampi sifa kama zamani utasikia Rais wa moyoni,dokta wa Ukweli kumbe Phd yake ni ya kanisani!
  7. J

    Kwa hatua hii ya JK tayari tumewekwa kwenye target ya Al Shabaab

    Ulitaka JK awasifie Al-shabab?
  8. J

    Nina wazo la kutunga filamu ya Dr. Slaa vs Lowassa

    Dr John Pombe Magufuli 2015-2025! Zitto Zuberi Kabwe 2025-2030!
  9. J

    Hivi Membe anajua alichofanywa Gaddafi kabla ya risasi?

    Mod ondoa hii thread haiendani na hadhi na kiwango cha JF
  10. J

    Hivi Membe anajua alichofanywa Gaddafi kabla ya risasi?

    Porojo za walevi zahamia JF!
  11. J

    Jaji Mkuu Tanzania awania nafasi ya Ocampo

    We pimbi siasa za bongo zimekuharibu kabisa now you think locally! Mwendesha Mashitaka wa ICC huteuliwa na tume maalum hakuna anaeomba kazi ICC! Hivyo Chande ameteuliwa na wenzake 6 halafu tume hiyo itapitia na Kumteua anae faa! Haku-apply hiyo kazi kama unavyo onesha kutoelewa!
  12. J

    Jaji Mkuu Tanzania awania nafasi ya Ocampo

    Nataka kuweka Kumbukumbu sawa hapa! Mwendesha Mashitaka wa ICC huteuliwa na tume maalum hivyo Chande hajaomba hiyo kazi amekua shortlisted na Wenzake 6 baada Tume/kamati itapitia majina 6 na kumteua Mwendesha Mashitaka! Naona Watanzania wenzangu wana JF wanaona kama Chande kaomba kazi hapana!
  13. J

    Kizazi Cha 1946-1956 Wametuletea Umasikini Mkubwa Tanzania

    Steve Jobs not Steve Forbes!
  14. J

    Taasisi za Kiislamu zaisafisha CHADEMA

    Uchaga+Ukatoliki= Chadema
  15. J

    Sifurahishwi na utendaji wa mkuu wa nchi - Shyrose Bhanji

    Shy-rose Bhanji Jaffaray! Shy-rose Bhanji Mbilinyi! Shy-rose Bhanji Lowassa! Huyu dada skendo za mapenzi na kuwa kirukanjia zina mshusha sana akitulia atakua kiongozi mzuri!
  16. J

    Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

    Unajifanya humjui Dr John Pombe Magufuli? Huyo ndie Rais wa 2015-2025!
  17. J

    What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

    Hee mwanamke anaunguruma tena? Ana sauti ya kiume hadi aungurume?
  18. J

    Huyu ndiye Rais anayetufaa 2015

    Mpambano utakua kati ya Dr John Magufuli Vs Padre Mstaafu Wilbroad Slaa!
  19. J

    Sabodo: Sina mpango wa kuhama CCM; Awakana CHADEMA, awaonya Watanzania

    Nimeiona habari hii kwenye Gazeti la Habari leo pia! Dah Mhindi sio mtu wa kumuamini leo anaiponda Chadema utadhani haijui kabisa! Chadema kwa hili mmedhalilishwa sana na Sabodo kweli pesa ni mbaya!
  20. J

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Kwa akili yako Ipo siku Nato wataivamia Tanzania na kuitafuta CCM mafichoni na Kuiua au Kuipeleka The Haque? Nato ndio nguvu ya Umma? JF ina mchanganyiko wa watu mbalimbali wenye elimu tofauti na uelewa tofauti!
Back
Top Bottom