Tp link zipo nyingi na kila moja ipo na uwezo tofauti tofauti, ila wifi za kawaida 2.4Ghz tunaongelea bandwidth around 300mbps na hupati yote hio ipo on theory tu.
Wenyewe TP link wanashauri router za kawaida watu 25 na router za pro watu 50. Soma zaidi hapa...
Kwa hizi router zetu za "consumer" si rahisi.
Watu 500 unaweza hata ukaweka private network, mkawekewa na mnara wenu.
Labda ufanye mesh uweke Router nyingi na Ap tofauti tofauti ili ku split load router moja wasiconect watu wengi.
Hio inaitwa class 0 msg ama flash message, ni kwa ajili ya emergency ila siku hizi inatumiwa vibaya kama hivyo. Kwa baadhi ya simu ina bypass hadi lock screen, unaweza kuwa umelala simu ipo full charge ukaamka battery low sababu ya hizi message.
Na most of time huwezi kuzitoa, kuna simu zina...
Unaweka, hata Nokia ya tochi miaka 10 iliopita inakaa cha muhimu tu format kutokana na simu yako inataka nini.
Sema kuwa makini sd card za 2TB likely ni fake
Sina uhakika mkuu, hasa hizo port mbele zinahitaji connection maalum sina uhakika kama mobo yoyote itaweza kuzitumia ipasavyo, maana hawa kina HP na dell wanapenda kweli kutofuata standard na ku complicate mambo.
Ila port za Nyuma zinakua ni motherboard specific.
Cha muhimu mkuu ni kujua...
Case mkuu inategemea na wewe, kama hutaki urembo na hujali muonekano Kariakoo na machinga Complex kuna case used za kutosha tu.
Otherwise itabidi uagizishie nje.
Am4 inakubali Ryzen zote mkuu mpaka 5xxx series, kuanzia 7xxx series ndio zinataka Am5.
Kupata uhakika zaidi unaangalia website ya gigabyte.
https://www.gigabyte.com/Motherboard/B550M-GAMING-rev-1x#kf
Ama wasiliana na seller Aliexpress akupe uhakika zaidi.
Tablet isio na line labda, hasa ambayo ina feature zitakazomlimit asiwasiane na watu tofauti Na familia.
Kum expose mtoto na watu asiowajua kwenye mitandao ya jamii ni hatari sana.
Tablet anaweza tumia hata akiwa chekechea,
Umri wa kubalehe unaweza kuanza kumfundisha mambo ya Simu ila...
Sijajua dts ipi mkuu, ila kuna dts ambayo ni kampuni (Digital theater system) hii kazi yao ni kutengeneza Multi chanell audio, ambazo hutumika kwenye speaker za vifaa mbalimbali kama Home theater, sabufa, etc
Wazuri hawafi inamaanisha watu wema wanaacha legacy ambazo hata wakifa zinakumbukwa kwa muda mrefu...
Chukulia mfano mtaani kwenu kuna shida ya maji, aje mtu ajenge kisima kikubwa kihudumie mtaa mzima, huyo mtu hata Akifa legacy yake inabaki.
320K nilinunua kkoo, hakikisha tu unajua kuingia service mode na uhakiki vitu kama battery health, touch na vinginevyo.
Maeneo ya uhuru na aggrey zipo nyingi mno. Kama unaona maduka ya juu unashindwa ku bargain ingia basement lile jengo la kona ya msimbazi na uhuru lenye maduka mengi ya simu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.