Search results

  1. G

    Sikiliza Mahojiano na Sheikh Farid wa Jumuia ya Uamsho Zanzibar

    Huyu mpuuzi anajitafutia umaarufu kama wa OSAMA.
  2. G

    Dar: Mihadhara ya kidini yapigwa marufuku!

    Mwingine kanijibu "Peace and Love" si mchezo.
  3. G

    JWTZ kupiga doria barabarani: Mwamunyange ameenda mbali mno...

    Tuache kujadili vitu ambavyo havina maana. Mbona mara nyingi huku kwetu Iringa tunapishana na magari ya jeshi yakiwa na wanajeshi. Tungeweza kuhoji kama jeshi lingetumika kutuliza fujo, lakini halikufanya hivo, tuache Umburula.
  4. G

    Analysis ya sherehe za miaka 35 ya ccm

    RAIS Jakaya Kikwete amekiri kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kina hatari ya kuanguka vibaya katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, ikiwa hali mbaya inayoendelea katika nchi haitarekebishwa. Kauli hiyo ya kwanza ya aina yake, aliitoa saa chache tu baada ya kutamba kwamba CCM ina uhakika wa kurudisha...
  5. G

    Wabunge CCM: Dr. Slaa na na Mwesigwa Baregu ni Watata

    Katika hali isiyo ya kawaida, hofu ya wabunge wa CCM katika mchakato wa uundwaji wa katiba mpya imetokana na kuogopa aina ya wajumbe watakaoingia kwenye tume ambayo Rais ataiunda. Soma sehemu hii: "Hoja nyingine iliyojengwa na wajumbe ni kwamba kama wataruhusu mabadiliko ya Katiba yafanyike...
  6. G

    Wabunge CCM wamlipua Kikwete, WADAI WANAKERWA JINSI RAIS ALIVYOMGEUKA PINDA, MAKINDA

    UHUSIANO kati ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wao, Rais Jakaya Kikwete, unazidi kuzorota, kiasi cha kutishia nafasi ya kiongozi huyo mkuu wa nchi, Tanzania Daima Jumapili limebaini. Baada ya juzi wabunge wa CCM kumshambulia na hata kutishia kupiga kura ya kutokuwa na...
  7. G

    Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

    Kuna kijana mmoja wa pikipiki amepita hapa National Nyakato na bendera ya CCM, kapigiwa milusi sana. Anaonekana anafanya kitu cha ajabu.
  8. G

    Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

    Hapo kwenye redi, huyo jamaa ananitia kichefuchefu sana.
  9. G

    Zitto hatendewi haki ndani ya Chadema

    Hii kauli haina shida, inatusaidia kujua IQ ya kiongozi tuliye naye.
  10. G

    Rostam atimkia Ulaya

    Kubenea amefanya kazi nzuri sana, amemng'ang'ania jamaa pamoja na mihela yake mpaka kakimbia. Next Lowassa........
  11. G

    Rostam atimkia Ulaya

    Lilikuwa limebakia Dili moja tu, "KUUZA mitambo ya Dowans", amemaliza kazi kilichobaki ni kula bata.
  12. G

    Mgogoro wa Madiwani wa CHADEMA Arusha: Lema anahusika

    Hii habari ina utata, aidha ni ya kupima upepo au kutungwa au kuchonganisha au vyote.
  13. G

    Countdown ya CCM na hatima yao baada ya siku 90 leo

    Wameshindwa kuwavua magamba, Sasa NAPE and Co wasubiri kuvuliwa wao, THE POWER OF MONEY.
  14. G

    mabomu mengine Dar?

    Ni bora kupigana na wanyama kuliko mabomu.
  15. G

    He! Kumbe Kikwete Alimtapeli Lowassa?

    Kikwete hafungamani na kundi lolote. Hana Rafiki wa kudumu.
  16. G

    He! Kumbe Kikwete Alimtapeli Lowassa?

    Inawezekana anamaanisha 2014.
  17. G

    He! Kumbe Kikwete Alimtapeli Lowassa?

    Aliiokoa serikari au Kikwete?
  18. G

    He! Kumbe Kikwete Alimtapeli Lowassa?

    Nimeshtushwa na habari iliyo katika Mwanahalisi ya Leo Toleo namba 249 yenye Kichwa "Mzozo wa Lowassa na Pinda: Ni uamuzi Mgumu, Utapeli au ajali ya kisiasa?" Ukurasa wa 11. Nanukuu baadhi ya vifungu:- "Baada ya kusomwa kwa ripoti , (Ya Richmond) taarifa zinasema Lowassa alikwenda Chamwino...
Back
Top Bottom