Search results

  1. K

    Unamfahamu DCI Manumba wewe?

    Aga Khan = MNH?? kweli hawa viongozi wetu wamepotoka! au wanaogopa kivuli chao wenyewe? usimuombea mwanzako afe! akipona sasa hivi atakuwa mtu mwingine safi! atajua kwamba ipo siku!
  2. K

    Taarifa kwa umma juu ya maamuzi ya baraza la madaktari kuhusu madaktari waliogoma

    sasa kama hawaongezi muda hao majamaa watamalizaje intern ndani ya miezi chini ya sita? maana najua internship ni miezi 12. na hii ni minimum, maana kuna ambao wanapita kwenye idara kwa miezi mitatu( idara kubwa zipo nne) kwa sababu maja au nyingine utendaji wao wa kazi unakuwa siyo mzuri...
  3. K

    Siku wananchi wakijua haki zao hospitali kutakuwa kuchungu sana!

    bado haijastify kupima wagonjwa/clients bila ridhaa yao. maana lengo la kupima ni kuboresha matibabu utakayompa mhusika, vipi kama hujamwandaa! shida kubwa tunalipua kazi bila kujali athari zake. ni kweli WHO inashauri kila mtu akienda kituo cha afya pamoja na matibabu mengine apate huduma ya...
  4. K

    MKAPA ndio kaimalizia Tanzania

    Unapouza makampuni kama Saruji, beer, sigara na NMB kwa makaburu ambayo ndo yanatengeneza faida ya kufa mtu, unafikiri tutakaa tuendelee? kwa kukwepa kulipa kodi kwa makampuni yanayotengeneza faida kubwa! kwa sababu sheria zetu zipo legelege eti waziri/katibu/mkurugenzi anatuhumia kwa wizi...
  5. K

    Nawachukia ma DOKTA na MAPOLISI

    mfumo ndo unafanya hawa waonekane hivyo! sector yeyote inayohusuka na huduma kwa jamii lazima ionekane ina matatizo maana hata wateja wenyewe wana matatizo! wewe unasema unawachukia Madaktari! Piga ua katika maisha yako lazima utaenda hosp tu! either alive or dead! mbona ma Drs hao hao wakiwa...
  6. K

    Hivi bunge haliko makini kuangalia cv za wabunge wetu?

    yaani kabla hajamaliza hiyo BA yake alishashika nyadhifa mbali mbali kama Southern Highland Secondary School Administrative & Personnel Officer bila hata kuwa na ka dipl ka ualimu! kweli hii Tz inabidi iingingie kwenye maajabu saba ya Dunia!
  7. K

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    huwezi heshimika kwa kuvunja amani na kuharibu mali! hao dogo ilibidi wahojiwe na kujua chanzo ni nini! sasa kama Mungu katuumba na ndiye mwenye mamlaka yote! kwanini tumtetee? naanza kuwa na wasi wasi watu wanavyotafsiri maandiko. 'atakaye iangamiza nafsi yake ataiponya' wanafikiri watakaoua au...
  8. K

    Tumalize ubishi;CT scanner vs Toyota land cruiser

    kupanga ni kuchagua! aka CCM
  9. K

    Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

    tatizo anawategemea wasaidizi mafisadi! hajui watu tunagoogle kupata taarifa za kweli! sasa kama CT scan ipo moja inayowahudumia walalahoi milioni 40, alitaka ifanye kazi milele bila kuharibika?
  10. K

    Baadhi ya vingozi kuanza kutowaamini madaktari Muhimbili, nini hatma yake?

    Dr ni mchawi mtaalamu, akiamua kukufanyizia hata ukafanye postmortem wapi hauwezi jua chanzo! cheza na daktari wewe! ila maadili ndo yanawalinda.
  11. K

    Ujio wa madaktar wapya fursa mpya kwa WATANZANIA

    watanzania wanateseka kwa sababu ya mgomo! ila walikuwa wanateseka zaidi bila mgomo kwa sababu mahospitalini hamna vifaa vya uchunguzi! wagonjwa wengi wanakufa bila hata ya kugundua tatizo/ugonjwa anaoumwa na pengine hata kama tatizo/ugonjwa ukijulikana dawa hamna! kwa hiyo ni taabu kweli...
Back
Top Bottom