Search results

  1. grafani11

    Niyonzima awaita mashabiki wa simba wapumbavu ,asema bado kuna vitu ana vimiss kutoka yanga

    Ndivyo akili za wavuvi wa kambale zilivyo. Mafuriko yanaathiri mpaka ubongo wasamehe tu.
  2. grafani11

    Niyonzima awaita mashabiki wa simba wapumbavu ,asema bado kuna vitu ana vimiss kutoka yanga

    Kwa wale waliooa haishangai mkeo kukukashifu mchana wakati usiku anakupa mambo matamu. Tunamshukuru kwa kuendelea kuchangia Simba kuongoza ligi tena kwa pointi magoli mengi kuliko Wavuvi wa Kambale FC.
  3. grafani11

    Wakuu kuangalia unadaiwa sh ngap makosa ya barabaran unafanyaje

    Kumbe unafahamu kuangalia, angalia tena.
  4. grafani11

    DAR: Mkuu wa Mkoa atengua agizo la Polisi kuhusu kutoa 'tinted'

    Mkuu avatar yako inasuuza mtima wangu [emoji28] Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
  5. grafani11

    DAR: Mkuu wa Mkoa atengua agizo la Polisi kuhusu kutoa 'tinted'

    Naunga mkono hoja Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
  6. grafani11

    DAR: Mkuu wa Mkoa atengua agizo la Polisi kuhusu kutoa 'tinted'

    Mimi nilikuwa nimeweka ambayo sio kali ila kwa faida alizoainisha DAB nimetoa jana na kuweka ile ya usiku wa giza nene mpaka abiria wa siti ya nyuma ya dereva wenyewe kwa wenyewe ndani ya gari hawaonani vizuri mpaka taa iwashwe. Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
  7. grafani11

    DAR: Mkuu wa Mkoa atengua agizo la Polisi kuhusu kutoa 'tinted'

    Kwanza nayeye tungemtaka apunguze manguo yake usoni anaficha nini kama sio muhalifu. Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
  8. grafani11

    DAR: Mkuu wa Mkoa atengua agizo la Polisi kuhusu kutoa 'tinted'

    Makonda ndiye aliyetengua tamko kandamizi la RPC Dsm mkuu Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
  9. grafani11

    DAR: Mkuu wa Mkoa atengua agizo la Polisi kuhusu kutoa 'tinted'

    Mbona mmeacha kukamata sasa kama wanaume kweli. Ndio mngejua kufuata sheria na kukurupuka ni vitu viwili tofauti. Sent from my D5303 using JamiiForums mobile app
  10. grafani11

    Utajiri wa wachungaji Rwakatare, Gwajima, Mwingira na Mzee wa upako na uhalisia wa makanisa yao(Majengo ya kuabudia)

    Waulize wao wanamisikiti mingapi yenye hadhi ukitoa ile waliojengewa na matajiri wa ngada na dhuluma mijini. Si bora wakristo aliowataja wamejenga kwa nguvu zao wenyewe. Getruda si ajabu kuwa tajiri maana ana biashara zake toka zamani na hategemei sadaka. Sana sana sadaka anazitumia kulipa...
  11. grafani11

    Utajiri wa wachungaji Rwakatare, Gwajima, Mwingira na Mzee wa upako na uhalisia wa makanisa yao(Majengo ya kuabudia)

    Waumini wenyewe wamekalia kurogana tu ili kuupata ushekhe huo utafutaji maisha wawe na maisha bora wataufanya saa ngapi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. grafani11

    Utajiri wa wachungaji Rwakatare, Gwajima, Mwingira na Mzee wa upako na uhalisia wa makanisa yao(Majengo ya kuabudia)

    Japo umeanza vizuri kwa kujitahidi kuficha hisia zako lakini umejidhihirisha ilivyo pale ulianza kuuhoji Ukristo mzima kwa matendo ya watu wachache unaowatilia shaka wewe. Baadae tena umesema ni kwanini watu wasiuache ukristo waende kwenye uislamu tu kwa hoja zako unazohisi wewe kuwa ni sahihi...
  13. grafani11

    DAR: Mkuu wa Mkoa atengua agizo la Polisi kuhusu kutoa 'tinted'

    Nimecheka kwa sauti aiseee Sent using Jamii Forums mobile app
  14. grafani11

    DAR: Mkuu wa Mkoa atengua agizo la Polisi kuhusu kutoa 'tinted'

    Napita hapa eneo la EFATHA Mwenge, hawa polisi wanaokamata gari zenye Tinted ni kwa amri ya nani. Mheshimiwa Paul Makonda mulika eneo la Mwenge asubuhi hii maana naona kuna kiharufu cha kutafuta chochote kitu hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. grafani11

    UJAMBAZI: Magari yote yenye tinted yapigwa marufuku na Polisi jijini Dar

    Chekelea hilo tu ila kumbuka wangefanikiwa hili wangehamia kwenye mavazi ya kuficha sura maana hata utumie pikipiki haina tofauti na gari yenye tinted glass. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. grafani11

  17. grafani11

    UJAMBAZI: Magari yote yenye tinted yapigwa marufuku na Polisi jijini Dar

    Naunga mkono hoja. Polisi kama wamefikia hatua ya kufunga vituo vyao saa 12 jioni kama watumishi wengine wa Umma kuepuka uvamizi wa majambazi vituoni unategemea nini hapo. Mungu atusaidie nacheka kwa masikitiko makubwa.... Sent using Jamii Forums mobile app
  18. grafani11

    UJAMBAZI: Magari yote yenye tinted yapigwa marufuku na Polisi jijini Dar

    Bora viongozi wangekuwa wale wa kitaaluma lakini hawa watakuwa wanasiasa. Inabidi Viongozi wenye taaluma za kazi zao wapime kwanza matamko ya wanasiasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. grafani11

    UJAMBAZI: Magari yote yenye tinted yapigwa marufuku na Polisi jijini Dar

    Wakimalizana na tinted watakuja na magari yenye spidi kali kama Subaru, Jaguar nk ambayo ni hatari kwa mbio zaidi ya gari za polisi yang'olewe injini iwekwe ya Vitz maana wahalifu wanaweza kuyatumia kutoroka polisi. Wakimalizana na hilo watakuja majumbani, watataka tuondoe vioo vya giza...
  20. grafani11

    UJAMBAZI: Magari yote yenye tinted yapigwa marufuku na Polisi jijini Dar

    Unachokitafuta utakipata Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom