Search results

  1. Mvua Ya Kiangaz

    Marehemu ashinda uchaguzi Marekani

    Maajabu. Lakini kushindwa na marehemu ni fedheha
  2. Mvua Ya Kiangaz

    Siri gani ipo nyuma ya namba 40(arobaini)?

    Namba 40 ni ni majaribio na ukamilifu wa jambo fulani, suala la sekunde, dakika, masaa, siku, wiki na miaka yote yana sadifu ukamilifu fulani. Mfano ukimtazama mtu kwa nukta 40 huwezi kumsahau hata ukikutana naye popote lazima akili yako itatambua kuwa ulikwisha kumuona. Ukikaa na mtu kwa...
  3. Mvua Ya Kiangaz

    Siri gani ipo nyuma ya namba 40(arobaini)?

    Ukijua kwa nini vipindi vya darasani kuanzia chekechea vimepangwa kwa dakika 40 utaelewa. Hii ni elimu ndogo sana.
  4. Mvua Ya Kiangaz

    Masikini kaka huyu

    Mimi si mtaalamu sana wa afya ila kuna scenario kama hizo nyingi tu. Hawa kitaalamu ni discordant couples ambapo mwanamume sio recipient wa VVU kulingana na blood group au aina ya kinga yake na aina ya HIV aliyonayo mkewe. ... hivyo ushauri wangu wapate ushauri wa kitabibu then goma liendelee...
  5. Mvua Ya Kiangaz

    CCM Kahama kumekucha

    Lembeli hana chake Kahama. Hakuwahi kuwa na chake isipokuwa hakuwahi kupata mpinzani sahihi na mgombea sahihi wanaemtaka wana Kahama. Safari hii uchawi na pesa anavyojinasibu navyo havitamsaidia. Kuna jembe tumeliandaa na sasa liko tayari kulima. .. hakuna cha Lembeli, wala nani. Tunaye wakili...
  6. Mvua Ya Kiangaz

    Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

    Vice president wake (pichani) na mheshimiwa Hamad Rashid ndio atarithi mikoba ya Urais
  7. Mvua Ya Kiangaz

    Urais 2015: Khamis Mgeja atema cheche

    Sina nyongeza
  8. Mvua Ya Kiangaz

    Rais wa serikali ya wanafunzi chuo cha biashara (CBE) mbaroni kwa wizi

    Kwa ufupi ni kwamba aliyekuwa rais wa serikali ya wanafunz bwana Ramadhan Kirungi anashikiliwa na Polisi Kituo cha Selander Bridge baada ya kudokoa kiasi cha shilingi 31 Milioni kwa kufoji saini ya Dean of students. Wizi huo uligunduliwa na makamu wake wa Rais ndugu Godfrey Modest (Pichani na...
  9. Mvua Ya Kiangaz

    Dr. Robert Charles Gallo: The man who created AIDS

    Makala au mijadala kama hii huwezi kuipata kwa kuwa kila kitu kimekuwa white washed na sisi weusi Tumekuwa brain washed. Lazima ujiulize kwa nini Malcolm X alikuwa anadai Yesu alikuwa mweusi kwa nini tusitafute ukweli wa madai yake? Lazima tusome na kutafuta maarifa zaidi. Mungu anaposema "watu...
  10. Mvua Ya Kiangaz

    Dr. Robert Charles Gallo: The man who created AIDS

    Kujadili nani ni mtaalamu wa kutengeneza virusi au nani ndiye aligundua ni kumpa sifa shetani tu.Nadhani swali la kujiuliza na KWANINI?? Ukweli unajulikana na sio yeye tu mgunduzi. Ni ndoto ya taifa lake la Marekani na wazungu wote kuwamaliza watu weusi kwa kutumia mbinu yoyote ya kufanikisha...
  11. Mvua Ya Kiangaz

    Maswali yalioninyima usingizi nilipokua mtoto

    Nilikuwa najua ukimuona zeruzeru lazima uzae zeruzeru labda ujitemee mate kifuani. 2. Ukikojoa lazima uteme mate la sivyo unakufa
  12. Mvua Ya Kiangaz

    Maswali yalioninyima usingizi nilipokua mtoto

    Ha ha haa... hii niliifanyia experiment mara kibao
  13. Mvua Ya Kiangaz

    Naishukuru MMU, imenipatia mke........

    Nashukuru sasa tuna watoto wawili, wa kwanza wa kiume na wa pili wa kike...
  14. Mvua Ya Kiangaz

    Naishukuru MMU, imenipatia mke........

    Smile vipi??? umefika bei????
  15. Mvua Ya Kiangaz

    Naishukuru MMU, imenipatia mke........

    uuuuummmph! jamani ndoa hii ni tamu ajabu, ndio kwanza fungate imekwisha na mama mambo mazuri, katumbo kamejaa......aksanteni sana tu tena wakuu wa JF
  16. Mvua Ya Kiangaz

    Mahanjamu ya chuchu...wayajua wewe?

    Duuuh! kumbe nilimiss utamu eeeh, mama mwenye nyumba tupatie experience yako pls.
  17. Mvua Ya Kiangaz

    Baada ya kufunga ndoa, ananikataza kutembelea JF

    Wadau Habarini, Niwatakie heri ya mwaka mpya, imekuwa kitambo kidogo taingia nitangaze nia, nikapata mchumba humu JF ambae tulifunga ndoa tarehe 15.10.2011; ndoa yetu ni ya furaha na kila mmoja anaamini ndo mwisho wake wa reli kama ilivyo, tatizo la mwenzangu tangu tumetoka honeymoon amekuwa...
  18. Mvua Ya Kiangaz

    Aina tatu za wanawake ambazo manamume hukolea nazo

    mambo yote uchangamfu na muonekano; kama mtu mwenyewe kununa ndo kawaida yake hata kitandani atakuwa mlalamishi tu...mtazamo tu
Back
Top Bottom