Search results

  1. J

    Magufuli akabidhiwa haya majina ya wauza 'unga'

    Nimeshtuka sana kuona hilo Jina hapo Gwaza Steven Mapunda mtoto wa Referee mzoefu wa football....nilisikia kama mwezi huyu mshkaji yuko Keko jamaa alimuona...dah ni schoolmate Muhimbili Primary School LY88
  2. J

    Ipe maneno picha hii iliyopigwa jana kwenye hafla

    Magufuli sijui anaandaliwa na nani hizi Suit oversize?
  3. J

    Lowassa ashindwa kujibu madai yake ya kwenda Vita vya Kagera

    Huyo Mzee Makamba anaongea sana utadhani yeye ndiyo alikuwa mstari wa mbele...yeye alikuwa ni MPISHI sasa atamuona wapi mstari wa mbele? Kama anabisha na aseme kama hakuwa MPISHI mtu yoyote aliyeenda naye muulizeni atawaambia..Mimi Marehemu Baba yangu Mkubwa alikuwa nae.
  4. J

    Mh. Zitto tunakuomba ugombee jimbo la Ubungo

    Huyu Mtoa Mada(Assad) naona mabomu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe (Syria) yamemuathiri ubongo wake msameheni bure tu !
  5. J

    Zitto Kabwe, Ukombozi hauletwi kwa maneno matamu

    Kumbuka Jembe halilimi lenyewe mpaka liwe na support ya Mkulima !
  6. J

    Habari na Picha: Hali ya Rais Kikwete inaendelea vizuri, Jaji Mkuu wa Tanzania amtembelea hotelini

    Wala haina haja hiyo...siku hizi Tigo International Package outside Africa TZS. 1,000 = Dakika 20 TZS. 5,000 = Dakika 100 Crystal Clear kama unapiga bongo hapa hapa
  7. J

    Tibaijuka: Nimepokea Bilioni ya Mbia wa IPTL! Malipo yalisimamiwa na BoT

    Huyo Mama ni Panja kitambo alishapata kashfa akiwa UN - Nairobi ilihusisha rushwa kwenye Procurements walichukuwa rushwa kutoa deal la USD 100m kwa supplier
  8. J

    Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Hivi Mkinga naye huwa ana point za kuongea...au ni bingwa tu wa kupiga kelele studio , kutoa povu na kulowesha wachaingiaji wenzake mate studio.....
  9. J

    Yaliyojiri Ubungo Plaza kwenye Kongamano la iliyokua Tume ya Kukusanya Maoni ya Jaji Warioba

    Siyo Arusha tu.....hata Dar vileve kama huku Tabata na Kinyerezi cjui sehemu nyingine....uongozi wa nchi hii ni majambazi
  10. J

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    USPS - United States Postal Service
  11. J

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Mwambie huyo mtu atumie USPS ukija huku unaupata kupitia EMs
  12. J

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Ok wauzaji Wengi toka US hawana option ya kutuma huku Africa, cha kufanya ni kama una mtu kule iende kwake na mara nyingi within US inakuwa free shipping then huyo mtu wako afanye utaratibu wa kukutumia huku
  13. J

    Hamad Rashidi ndiye aliyeisaliti Zanzibar

    Halafu Huyu jamaa inaonekana ana interest zake nyingi sana huku bara na kila mara anakuwa huku Dar anarandaranda na Benz ML yake.....inawezekana kabisa kapewa hela....ana nyumba yake kubwa pale Kawe inatizamana na ya Basil Mramba na zote zilikuwa zimekodishwa na kampuni ya kitapeli ya...
  14. J

    Sitta afanya maajabu ya karne

    Viongozi wa nchi hii ni wa ajabu kweli...sasa hawa wajumbe wa BMK wanafurahia utadhani ndiyo mwisho wa mchakato na Katiba mpya imeshapatikana hiyo waliyoipanga wao.....hii inaonyesha kwamba kitu walichokopitisha wao ndiyo hicho hata kama wananchi hawakitaki.....kweli Watanzani ni wapole cjui hao...
  15. J

    Naomba msaada kujua kama tatizo la simu hii ni Software au Network Lock!

    Nimecheki hapa itakuwa fresh, ngoja niweke hela kwenye bank card yangu niliyolink na paypal ili niweze kununua kesho huwa siiachi hela kwenye hizi card za kulipia online kwa sababu kuna watu wanna hack kwenye account yako na kutumia hela so kesho asbh itakuwa bomba
  16. J

    Naomba msaada kujua kama tatizo la simu hii ni Software au Network Lock!

    Yeah ndiyo maana yake na ndiyo safe kuliko ya kutumia software yenyewe unapewa tu unlocking code
  17. J

    Naomba msaada kujua kama tatizo la simu hii ni Software au Network Lock!

    Naona kuna jamaa anasema a naweza kwa 30,000
Back
Top Bottom