Search results

  1. Ntilla

    The vert, ( teveri) kahawa dawa , kinachopendwa katika vijiwe vya kahawa hasa Kigoma, Burundi , Rwanda

    Asante sana, niko Biharamulo Kagera hii article imewafanya watu wengi kujua kitu.. Barikiwa sana..!
  2. Ntilla

    Mantiki ya kutoa rambi rambi ni ipi?

    Typical wa Dar..!
  3. Ntilla

    Dar, Kigamboni: Khamis Luongo amuua mke wake Naomi Orest Marijani na kumchoma moto. Majivu akafanya mbolea ya Mgomba

    Sanaa... Atahangaika na kuteseka kwa makosa amabyo sio yake.. Life is not fair some time..!
  4. Ntilla

    Wadau hivi kuna anayeyajua haya mawe , nimeyakuta sehemu

    Sio QUARTZ hiyo.. Quartz inapatikana ikiwa na shape yake maalum.. Hii ni Silver Moon Stone inatumika kutengenezea vito ila hayana thamani kubwa na soko lake kwa hapa Tz sijui liko wapi ila kama mzigo upo wa kutosha soko lake ni India..
  5. Ntilla

    Baba halali hapa ni yupi :

    Ngoja waje wataalamu wa mambo..
  6. Ntilla

    Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

    Umewahi kufikili kuhusu ndege inayosafiri bila hiyo ventilation kwa wastani wa masaa manne..!?
  7. Ntilla

    Kizimbani kwa kukutwa na meno ya tembo bila kibali

    Kwa bei ya serikali Kilo moja ni Shiling ngapi..!?
  8. Ntilla

    chaputa na kununua K hakuwezi kwisha hata siku moja

    Hahaha... 😂😂😂
  9. Ntilla

    Muswada wa kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii Tanzania

    Section 4 & 6 inaanzisha mfuko mpya, unaitwa Public Service Social Security Fund. (PSSSF) Section 77 Inafuta mifuko yote ilokuwepo ispokua NSSF. S.81 Hata Voluntary Schemes za mifuko ilofutwa zinahamia kwenye mfuko mpya. S. 80 & 87 Watumishi wote wa Umma mfuko wao utakua huu mpya, hivyo...
  10. Ntilla

    Ofisi za NSSF Dar zavamiwa na watu wanaodai mafao yao

    Bukoba NSSF kuna kadada kapo dirisha la mafao.. ..majibu yake ni machafu.. "..sijui ni katoto ka mkubwa flani..!"
  11. Ntilla

    Fridge 90W vs radio 250W kifaa gani kinakula umeme zaidi

    Vipi ukisikiliza "mahubiri" vs muziki wa injili..! Ipi inakula zaidi umeme..!?
  12. Ntilla

    Kwa Tukio hili la Ikulu, Hii tuna Utulivu au Amani Tanzania?

    Sasa kama wewe hujui/hukuwrpo, ulikua unajibu nn, badala ya kuwaachia hao wanaojua/waliokuwepo wamjibu..!?
  13. Ntilla

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Bunge limevunjika baada ya wabunge wa upinzani kusimama kupinga mwenendo wa Speker..
  14. Ntilla

    Ligi Kuu Tanzania Bara, Raundi ya III: 4-5 Oktoba 2014

    Bado "mnyama...!"
  15. Ntilla

    Njia za kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba

    Mwenye kuelewa, ameelewa.. Mungu akubariki, mleta mada..!
  16. Ntilla

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo ndo mwisho maana kila kitu kinaanzia kwenye mawazo..
  17. Ntilla

    PSPF Kibaha mnatia aibu

    Pamoja na matatizo yake mengi, bado ni NSSF ni bora kuliko hao wengine..
  18. Ntilla

    Msaada: Nahitaji gari, Je ni gari ipi nzuri zaidi kati ya hizi?

    Year: Sep, 2004 Make: TOYOTA Name: RAUM C PACKAGE Engine Size: 1,500cc Gear: AT Fuel: Petrol Door: 5 Seats: 5 Chassis: NCZ20-0060558 Model No.: CBA-NCZ20 Color: BLUE EngineType 1NZ
Back
Top Bottom