Search results

  1. J

    Hali ni Tete, Mabomu Yameanza Kurushwa Tena Jijini Arusha

    Kwani hawa polisi si tunaishi nao humu humu mitaani, waache waue ndugu zetu tuone kama nao watakuwa salama, SASA INATOSHA.
  2. J

    Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

    Hawa wana ajenda ya siri ya kutokomeza wakristo kwa kuwazuia wasiabudu, kama wanalalamika kuwa sheikh Ponda amekamatwa, je, makanisa ndiyo yaliyomkamata? kwanini wasiende kuchoma moto vituo vya polisi? Hii serikali dhaifu ndio imetufikisha hapa. Walipoandamana kwa ajili ya kuachiliwa...
  3. J

    Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

    Wakristo wamekuwa wapole sana, nadhani sasa ni wakati sahihi wa kuanza kufikiria kujibu mapigo, ni kweli akupigaye shavu la kulia mgeuzie na la kushoto, lakini je, akishakupiga la kushoto unafanyaje, heri kupiga kuliko kupigwa. Shime wakristo amkeni kutoka usingizini.
  4. J

    Mtuhumiwa ma mauaji ya Mwangosi afikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali

    huu ni usanii mkubwa sana, yaani wale wote walikuwa wanampiga tena kwa amri ya RPC ambayo naye ameipata kutoka kwa IGP ambaye alishauriana na Nchimbi naamini, halafu eti anakamatwa askari mmoja aliyefyatua bomu? huu ni usanii wa hali ya juu, ni sawa na majambazi walioenda kuiba mahali halafu...
  5. J

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    sasa kama hali ndiyo hii, watanzania tufike mahali tuseme inatosha. Mbona wanatufanya sisi ni watoto wadogo? Yote haya ni matokeo ya kuwa na uongozi dhaifu.
  6. J

    HOTUBA ya Upinzani Bungeni ambayo akina Werema. Lukuvi na wenzao, hawataki wananchi wajue,HII HAPA

    hii imetulia sana, hivi haiwezi kuchapwa kwenye magazeti ili wale wasio na access na mitandao nao waisome? Wadau hawa polisi wana matatizo mengi sana ndo maana wanaganga njaa kuomba rushwa ndogo ndogo.
  7. J

    JF EXCLUSIVE: Sababu ya Kuachishwa kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

    hakuna lolote hapa, mbona kuna mafisadi kibao tu hawasimamishwi kazi, wanaonea wadogo tu wakubwa wanapeta tu. Wao wakikatiwa umeme bungeni wanafukuza MD mbona watu wanakosa huduma za afya hawamfukuzi waziri? Mbona huku hatuna maji na hakuna anayewajibishwa? Mbona watoto wanafeli ktk hizi shule...
  8. J

    Madaktari na Ikulu

    kila mmoja alikuwa anatamani mgomo uishe kwa faida ya wananchi wa kawaida wasiweza kutibiwa private sasa wewe muanzisha mada inaonekana ulikuwa unapenda mgomo uendelee? jaribu kufikiri kama watu wakifa we utapata faida gani, mi nasupport walichofanya madaktari kusitisha mgomo baada ya kukutana...
  9. J

    Mgomo wa madaktari unaendelea; Watanzania tuungeni mkono

    kama nchi inaenda hivi basi ujue hatupo salama, hawa madaktari ni ndugu zetu na hii serikali ni ya kwetu, kwanini wezi wa EPA hawakuambiwa warudishe ela mara moja vinginevyo watafungwa? mbona twiga wetu wameibiwa na kupelekwa nje na wahusika hawajafukuzwa kazi? mbona wabunge wamedai nyongeza ya...
  10. J

    Maalim Seif 'aunguruma' Manzese - Dar

    kwanini aje dar anafuata nini? watu tuna mambo mengi ya msinhi ya kufanya siyo kusikiliza watu wanaotetea matumbo yao alaah!
  11. J

    Clouds FM wapo biased sana katika kusoma habari

    kwani we mpaka leo haujui clouds ipo kwa maslahi ya nani? hiyo redio ni sawa na kusoma gazeti la uhuru au jambo leo. amka tafuta redio nyingine za kusikiliza acha kulalamika bhana.
  12. J

    Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    jamani kwani hawa polisi si tunao huku mitaani kwetu, wengine tumepanga nao kwenye nyumba za kupanga, na wao si wana shida kama sisi? halafu kama wataamua kupiga raia kwani wao wanaishi kwenye sayari nyingine? tukiamua kuandamana hatuhitaji kuogopa lolote, mi naomba mipango ya maandalizi ya...
  13. J

    BUNGENI: Muswada wa mabadiliko ya katiba

    hao Tbc mbona wameita watu wa ccm tu? kwanini hawakumuita waziri kivuli wa sheria Mhe. Lissu? mi naona hicho kipindi kiliandaliwa mahsusi kwa ajili ya kujaribu kujisafisha na kuwadanganya wananchi wasio na uelewa wa kile kinachoendelea, naomba ule mkakati wa wanaharakati kuandaa maandamano nchi...
  14. J

    Mbunge wa Mbarali (CCM) kwenda jela miezi 10 au kulipa faini

    jamani wajumbe mnaofahamu sheria tujuzeni sasa kama amelipa hiyo faini na yupo uraiani je ubunge anaendelea nao au inakuwaje hapo? au kutafanyika uchaguzi mwingine? sheria inasemaje?
  15. J

    Nguvu ya umma yamtisha Kikwete

    jamani huyo anayekuja anamwakilisha yeye hivyo watu wote wa AR tujitokeze kwa wingi tukiwa na bendera za cdm na tumuonyeshe vidole viwili juu, naomba tuanze kupendekeza mabango ya kumpokea huyo anayemuwakilisha yawe na ujumbe gani... nawasilisha.
  16. J

    Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

    hii nimeikubali mkuu, hivi sisi panya wetu halisi ni nani ili siku moja tumtoe kwenye mtaro kama alivyotolewa Gadaffi?
  17. J

    Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

    sasa kama hawajamruhusu mbunge wetu tuambieni kinachofuata ni nini? huu ni uonevu wa wazi wazi zaidi ya ule wa Gadaffi.
  18. J

    Maskini bajaji na boda boda

    hivi hawa wenye bodaboda si ndiyo chama cha magamba wanawanunua wakati wa kampeni na kuwatumia kwenye misafar ya wagombea? ndiyo wajue ccm ina wenyewe.
  19. J

    Je, ni halali kwa daktari kuanzisha mahusiano na mgonjwa wake?

    hapa hakuna tatizo cha muhimu iwe baada ya mgonjwa kupona na daktari awe ana mpango wa kumuoa na siyo kumuharibia maisha vinginevyo hafai kuwa daktari.
  20. J

    Mhe Mnyika, hapa unaniangusha - Mfumuko wa bei

    Kizazi hiki tulichonacho tunahitaji viongozi wanaoweza kuthubutu na wanapoona tatizo hawalalamiki tu bali wanatafuta njia ya kulitatua, na hiki ndicho anachofanya Mnyika. Wadau wenzangu bila kujali itikadi za chama au dini huu mfumko wa bei unamgusa kila mtu hivyo anapotokea kiongozi...
Back
Top Bottom