Search results

  1. L

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo rasmi

    du wanajamii wenzangu baada ya kuangalia ITV habari ya saa mbili yaani sina raha na ki ukweli nimelia kwa uchunguniliposikia wagonjwa wanalalamika kwa uchungu wanatia huruma hadi machozi yamenitoka mwanaume kitu ambacho ni nadra kunitokeainasikitisha sana
  2. L

    Kifo chenye utata cha waziri Nicas Mahinda

    Tulikuwa tunaishi naye jirani kilakala morogoro msomi aliyesahau hata kukarabati nyumbani kwa wazazi wake alipokulia.
  3. L

    UGONJWA WA MWAKYEMBE: Sitta amtwisha zigo Pinda

    WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, amemtwisha mzigo wa lawama Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwa kushindwa kuueleza umma ugonjwa unaomsumbua Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe. Sitta alisema kuwa anashangazwa na ukimya huo wa Pinda kwakuwa Dk. Mwakyembe alishatoa...
  4. L

    Maiti yasafirishwa kwa pikipiki Bukoba

    inasikitisha na inavyoonyesha ni mama mjamzito aliyefariki pengine kwa kukosa huduma za haraka
  5. L

    Taarifa: House girl wa Regia naye afariki dunia!

    poleni wafiwa, mwenyezi mungu awapumzishe kwa amani marehemu wote, pia sisi tuliobaki tujiandae nasi tutafuata, ujumbe kwa madriver tuwe waangalifu rodini sio unadrive 6 au v8 basi wewe utaki uwe nyuma ya mwenzako. roli sio la kudharau mengine yana cc kubwaa kuliko hiyo v8 likiwa tupu...
  6. L

    Kwanini Balali hakuzikwa Tanzania?

    Balali second chance tunaisubiria kwa hamu
  7. L

    Ni kuhusu lile Jambazi la Arusha .....

    nimechek video ya huyo jambazi sura ya jambazi inafanana na waliomzunguka kumwangalia yaani wote sura zao ni za kijambazijambazi kweli inatisha AR
  8. L

    Wizi wa mifuniko ya chemba umekubuhu DSM

    kweli kabisa toka mwaka huu uanze kila sehemu iliyokuwa na mfuniko hakuna mjini mpaka jirani na central polisi wamekomba du kweli njaa mbaya sana tumekuwa kama nguruwe anayeza na kula watoto wake
  9. L

    John Pombe Magufuli unatuchefua

    watajeni hao mnaotoa sifa zao kama mwenzenu mleta hoja sio mnazungukazunguka na kusema hafai
  10. L

    Flight delays at jnia - precicionair

    wajirekebishe wanatutia aibu two weeks ago nilichelewa connection jomo kenyata kwa sababu yao tumesota zaidi ya masaa matatu wakaingia gharama za kutununulia chakula hapo jnia vile vile tulipofika nairobi ilibidi watukodie hoteli safari kwa siku nzima ili kusubiri next flight.sasa kama ndio hivi...
  11. L

    Ni mkoa gani una maisha rahisi hapa Tz?

    pia huduma za haja ndeefu hupatikana ziwani buree kabisa
  12. L

    Nani awaoe MASHOGA wa Tanzania?

    siku si nyingi utasikia wanaweka sifa uendi uk au kupiga box bila kuwa shoga au basha
  13. L

    Da, kweli Tanzania kiboko!

    du namkumbuka mareheme jinias balali ni genge la akina kikwete na mapacha watatu ndio walimwingiza mkenge sasa yamewashinda wamebaki kimyaaprof beno masabuli hajui eti kwa nini shilingi inashuka aibu
  14. L

    Mtoto albino awafukuza waliokata mkono wake

    hii mijitu ya kanda ya ziwa (shinyanga na mwanza) ilifaa wayahamishe yote wapelekwe either kwa alshabab maana inatutia aibu ya karne wabongo au serikali wahamishe watu wa kusini na kaskazini na kuwapeleka huko na wao kuwapunguza mikoa mingine ili kudilute tabia zao za hovyohovyo
  15. L

    Ushirikina na unyanyasaji wa maalbino

    hivi watu wa kanda yaziwa watastaarabika lini kila siku wanauana kinyama na kuendeleza ujinga asilimia kubwa ya mauaji ya kutisha kama sio shinyanga ni mwanza
  16. L

    Walichofanya Ethiopia kutengeneza Megawatt 5,000 za umeme; Je, Watanzania tunathubutu?

    [njaa kali sana ethiopia, wanaoneana na wana matabaka pia huyo zenawi ni mshenzi wa kutupwa good point jamaa wana kubalika na mataifa ya nje wanasaidiwa sana na wachina etc ]Hao ni wale wanaotafuta maisha bora haraka,je kuna mtu aliyerizika na maisha yake popote pale.
  17. L

    Tido Mhando awa bosi Al-Jazeera Kiswahili!

    Kama kawaida yetu....... TULIMBWAGA CHEYO.WAGANDA WAKAMCHUKUWA......... NA SASA TUMEMBWAGA TIDO.....WENGINE WAMEMCHUKUWA............... UKIONA CHA NINI WENZIO WANASEMA WATAKIPATA LINI........ hata che beni sasa hivi ni lulu kimataifa pamoja na matusi ya kila aina tuliomtukana
  18. L

    Ni kweli upo nje unabeba maboksi?

    then unsave zote au unatumia kwa gharama za maisha dola 2500 kwa mwezi au ndio unalala kwenye box na kushindia mkate nauliza sijawahi kuishi huko
  19. L

    Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

    kama kuna ndugu yako au mtu yoyote anayekuhusu kwenye ajali sijui kama utaropoka hivi
  20. L

    Wenzetu wana marais sisi tuna Kikwete

    Ushahidi unao ndugu
Back
Top Bottom