Search results

  1. N

    Ali Sultani:The unrepentant Z'bari revolutionary(This convo has been carried verbatim from wikileak)

    But the UMMA part and the ZNP were not the communist parties in Zanzibar. There was the Communist Party of Zanzibar/Zanzibar Communist Party founded and led by Abdulrahman Hamdani famously known in Zanzibar then as Abdulrahman guy. Here's some links on it EISA Zanzibar: Formation of...
  2. N

    Baraza la Mawaziri, sura mpya, uchakachuaji unaendelea

    Jamani nauliza, hivi ni mtoto yupi wa mama meghji aliyeolewa na kikwete? maana nasikia watu tu wakisema mama mkwe wake ila mimi nawajua watoto wake wote na wa ndugu zake na ndugu za mume wake na hamna hata mmoja aliyeolewa na kikwete. Ninavyojua kikwete ana wake wawili, salma na mke mwengine...
  3. N

    Elections 2010 Mkapa, Mwinyi wako Zanzibar -- UCHAKACHUAJI HUOOOOO!!!

    Labda waeenda kuwaambia CCM kuwa wasiwadhulumu CUF haki yao damu zitamwagika bure
  4. N

    Elections 2010 Masha agoma kusaini matokeo.. Diallo amwagwa na Hiness wa CHADEMA

    Jamani Masha labda kalewa tu hajui kinachoendelea au kapata kichinchiri yuko busy gesti hajui hata matokeo
  5. N

    January Makamba threatens Lisa Rockeffeller

    am now wondering if the Lisa woman is real or some smear campaign. Why facebook for such why not better media where they'll be held accountable. This is a Tanzanian and not who the person claims to be all made up.
  6. N

    Elections 2010 CUF washinda Majimbo yote Pemba

    TV broadcasting in ZNZ imekua banned till kesho nasikia. I understand that CUF has taken 5 seats in Unguja and could take more but could also loose 2 in Pemba. Sasa hizi habari wamechukua seat zote Pemba confimed au?
  7. N

    Mengi adai Polisi wahusika kutaka kumbambikizia mwanae madawa!

    Nasikia Mengi anacomplain kwanini aliowaccuse hawawi investigated. Sasa yeye hajafungua shtaka lolote all he did make accusations through the media so why should they be questioned or investigated. Mimi nashangaa sana kwanini hajashtaki mtu kama unajua mwanao kafanyiwa hivyo ungemshawishi mwanao...
  8. N

    Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

    I understand from a reliable inside source kuwa wana jimbo were very very impressed with Mpoki ila kinondoni lazima uwe mwislamu au mswahili meaning wa mwambao mwambao as opposed to mbara ili kuweza kushinda kwani lasivyo ccm nao wanaweza kupoteza jimbo hilo. Hivyo nadhani hongera zinastahili...
  9. N

    Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

    Mimi sina CV ya Mpoki na wala sio mpiga debe wake ninatoa tu opinion yangu kwajini ninanvyojua ability yake kuweza kulead jimbo hivyo kazi ninazozitaja hapa sio extensive na hazitokua na exact details but ndio ninavyozikumbuka wakati nikimjua zamani. Nakumbuka alifanya through the Development...
  10. N

    Elections 2010 Hivi inakuwaje unaomba kupigiwa kura kwa staili ya "kupiga magoti"?

    Huyu Shy Rose nimeangalia hata facebook yake kaandika kuwa kawaomba wanaume wagombea wamwachie apite yeye maana yeye mwanamke. Hivyo yeye anahisi ubunge sio ability ila ukiwa mwanamke, kijana, kilema basi. Hata UWT inabidi ability sijui anafikiri nini
  11. N

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    Mimi I am for dual citizenship au hata kama hawaitaki dual citizenship kuwe na kadi ya kuonesha ancestry etc kama system ya India ila naona kama serikali haina nia ya kupitisha hii wanajaribu tu kuwapa kama moyo watu walio nje
  12. N

    Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mpoki ni chagua zuri kwa jimbo kusema ukweli. Mbali yakuwa amesomea development, economy na technology (IT), (sekta ambazo tunazihitaji sana nchini kwetu ili kuweza kujisustain na kuendelea), amefanya utafiti na kazi kwenye area ya development kule Arusha na...
Back
Top Bottom