Search results

  1. E

    PCCB: NSSF is the least corrupt institution in Tanzania

    hivi kuna sehem isiyo na rushwa tanzania?
  2. E

    David Jairo wa IKULU

    nyie endeleeni kupiga makelele wenzenu wanakula kuku tuu
  3. E

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    Meneja wa January ni dada yake Mwamvita...so far Vodacom hawajakunusha hii e-mail wala mwamvita mwenyewe wala January Kwa kimya chao then tunaweza ku assume kuwa ina ukweli na kama ni kweli then its about time January aka tofautisha maisha yake ya kifamilia na dada yake ama sivyo kwa waziri...
  4. E

    January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

    Meneja wa January ni dada yake Mwamvita...so far Vodacom hawajakunusha hii e-mail wala mwamvita mwenyewe wala January
  5. E

    CAG anapotumia ofisi ya uma kwa kampuni zake binafsi!

    Subirirni kumwona PASCO anakuja kumtetea AN-KAL wake
  6. E

    Endapo Ngeleja akijiuzuru, January Makamba apewe Uwaziri huo

    Dada mtu alishatabiri kuwa kaka yake atapewa uwaziri na Mwamvita alikuwa anapita huku na huko kuomba michango wa dola milioni 1 toka kwa wanaotegemea kulipwa fadhila na Januarybarua hii hapa:
  7. E

    Philemon Luhanjo wa Ikulu naye fisadi?

    sidhani kama atachomoka this time na JF kweli mkimtaka mtu wenu hamumkosi kabisaa
  8. E

    Dr. Dau aingilia mchakato wa ugawaji viwanja Mafia

    huyo ndugu yake wanaosema amechakachua viwanja huko Mafia si yuko Dubai au?
  9. E

    Kutoka Mlimani City: Mkutano wa Makandarasi Tanzania 2011!

    Tuhuma za rushwa NSSF na ma contractor ni nzito lakini najiuliza huko Dodoma kuna nini?
  10. E

    Kutoka Mlimani City: Mkutano wa Makandarasi Tanzania 2011!

    https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/138291-crje-na-ufisadi-serikalini-2.html#post2369029
  11. E

    Zungu wa ILALA kufuata nyayo za Rostam?

    Mafuriko yakija je watafanya nini?
  12. E

    CRJE na ufisadi serikalini

    mimi naona makampuni ya Kizalendo bora yakafute tuu uanachama wake pale ERB kwani haina maana kusajiliwa na kulipa ada huku kazi zenyewe zote wanapewa wenye kutoa pesa
  13. E

    CRJE na ufisadi serikalini

    Kama hujui unachokisema bora ukakaa kimya na ukanyamaza
  14. E

    Mbona malenga wetu wako kimya na hii hali ya siasa?

    mhhh makubwa haya wajameni
  15. E

    CRJE na ufisadi serikalini

    Na sasa hivi wanapewa kazi ya uwanja wa Mwanza japo mfadhili alisema kazi inatakiwa ifanywe na contractor mzalendo
  16. E

    CRJE na ufisadi serikalini

    Sasa makampuni ya wazalendo yatafanya nini mbele ya pesa za waChina?
  17. E

    Siri ya kuwashwa majenereta ya IPTL

    inawezekana kukawa na ukweli kwenye hili nishalisikia wamefanya kusudi ili kupunguza makali ya umeme lakini ukweli unabaki pale pale kuwa after sometimes bajeti ikishapita then inazimwa kwani kuiwasha ile mitambo ni hasara tupu
  18. E

    CRJE na ufisadi serikalini

    RJE ndio waliopewa tenda na mashirika mbali mbali ya serikali kujenga University of Dodoma sasa hivi nadhani mmeona jinsi yale majengo yanavyoleta matatizo ya nyufa. In short hawa wachina ni mafisadi kuliko wahindi na wanatoa rushwa ndefu kuliko hata hao wahindi makampuni ya wazalendo...
  19. E

    Mdahalo wa kukata na shoka

    I think Masaburi should resign mpaka hapo uchunguzi utakapo kamilika
  20. E

    Is this the best we can do?

    Hivi afrer 50 yrs of independence hatuwezi kuwavisha wanajeshi wetu viatu vinavyofanana?
Back
Top Bottom