Search results

  1. M

    Uhalali wa mtoto anayezaliwa kwa IVF miaka kadhaa baada ya baba kufariki.

    Nashukuru sana kwa mchango wako ndugu yangu husasani hizo aya ulizozitoa. Tuendelee kuchangia
  2. M

    Uhalali wa mtoto anayezaliwa kwa IVF miaka kadhaa baada ya baba kufariki.

    In vitro fertilisation (IVF) Hii ni njia ambayo inatumika kupata mimba kwa wanandoa ambao wanamatatizo ya uzazi. Mara nyingi tatizo linakuwa kwa mwanamke hasa anayekuwa na tatizo la kuziba kwa mirija hasa yote miwili na kushindwa kuruhusu mbegu za kiume kupita ili zikakutane na yai lililopevuka...
  3. M

    Why do men fall asleep soon after coitus?

    What is your personal experience on the caption?
  4. M

    Anataka kuzaa naye tu mtoto hatamuhusu baba.

    1}. Kwa heshima ya rafiki yake, kaka ya mwanamke asikubali kitendo hicho. Kumzalisha na kumuacha itachukuliwa na rafiki yake ni kitendo cha kuharibu maisha ya dadake ingawa atakuwa amefanya hivyo kwa ridhaa ya mwanamke lakini kaka hatafahamu hilo na kusababisha kuvunyika kwa mahusiano yao ya...
  5. M

    Kuzaa mtoto mmoja

    Yaonesha maneno ya watu si tu kama yanakukera isipokuwa unadhani yanaukweli fulani katika maisha yako ndo maana ukachukulia uzito mkubwa nakuwauliza watu. Mimi naamini yamekugusa sana. Angalia sababu zilizowafanya muwe na makubaliano ya kuwa na mtoto mmoja kama bado zipo na kama ni hivyo hakuna...
  6. M

    Zitto: Ndio ninautaka urais

    Anafaa
  7. M

    PhD. ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, ni sahihi?

    A largenumber of English names and words related to astronomy are also Arabic inorigin. Similarly there are many words from other sciences developed by theIslamic Civilization that were adopted by the Europeans. The word logarithmswas created from the name of the great mathematician...
  8. M

    Kikwete anamchanganya nini Mengi?

    THIS AFTERNOON NILIKUWA NAFUATILIA KIKAO CHA BUNGE LA UK (HOUSE OF COMMONS), BUNGE LA UK LIMEPENDEKEZA KUJADILI "Danger of UK to Invest in Tanzania" KWASABABU YA HIYO ISSUE YA JK NA MENGI, Waziri wa mambo ya nje akaahidi kufuatilia through commonwealth office, so sikupata details. Kama kuna...
  9. M

    Asha Migiro hatulii NY?

    1. Jamani UN tunalikizo nyingi sana kutegemea na aina ya kazi yako. Kwa mfano mimi binafsi napata likizo kila baada ya wiki 6 na kwa maana hiyo nikiamua kuja nyumbani nitakuja si chini ya mara 7 kwa mwaka. Sasa huenda mama yeye kutokana na majukumu yake mazito akawa na likizo nyingi zaidi. Un...
  10. M

    Nina sifa zote lakini sipati mpenzi, je nina gundu?

    Kati ya wale uliokuwa nao enzi hizo hakuna mmoja wapo uliyekuwa na mapenzi ya kweli na ambaye bado yupo single ili uweze kurudisha mapenzi naye.
  11. M

    Serikali ya CCM na Udini Utakaoangamiza TAIFA

    Nahisi katiba yao inawahusu na suala hili ni la Zanzibar na wala si la Muungano. Tusichokonyoe sana mambo ya dini si mazuri sana kuyajadili hasa yanapokuwa sisi wa Wabara hayatuhusu. Kumbuka kuwa Zanzibar 98% are muslim. Ni kama Rais mpya za Zambia alivyodai ataongoza nchi kwa mujibu wa ten...
  12. M

    good at sensitive stuff..

    Itamsaidia mwanamke kuweza ku reliaze ukweli wa aliyoyaambiwa na wakati huu tension itakuwa inapungua
  13. M

    nimeachwa njia panda..........

    Wakati nilipoanza maisha nilikuwa nakaa kwenye chumba kimoja na nilikuwa na jirani yangu ambaye kila anaposikia jiko langu la stove linazima yeye aliingia chumbani kwangu na kuketi mezani na kula nami. Nilishindwa kumvumilia na nikaamua nitumie njia nyingine. Siku moja baada ya kumaliza kupika...
  14. M

    Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu

    1. Mpeleke polisi. Waoneshe polisi hiyo sms na waambie kuwa anatishia maisha yako. Waambie polisi kuwa huyo bwana hana rukhusa ya kuwasiliana nawe na akifanya hivyo achukuliwe hatua kali za kisheria kwakuwa anatishia maisha yako na anataka kukuharibia maisha yako pia wakati yeye...
Back
Top Bottom