Search results

  1. O

    UKAWA kutokuhudhuria katika misiba ya viongozi wa siasa

    Hujui hata unachoandika, hakuna chama kinachoitwa UKAWA Tanzania. UKAWA ni umoja wa vyama vinne, CHADEMA, NCCR, CUF na NLD.
  2. O

    Mwingira: Wagombea Urais na Ubunge wanaotumia nguvu za giza watakufa kabla ya Uchaguzi

    Mtikila hakuwa mgombea Urais, NEC walim disqualify baada ya kushindwa kukidhi vigezo
  3. O

    Maswali tata kifo cha Mchungaji Mtikila

    Wewe unaandika vitu gani? Watu wamekufa wakiwa wamelala usingizi, tuache mambo hayo. Tumuogope Mwenye ez Mungu. Tumuombee huko aendako kwani hakuna anaejua siku wala saa
  4. O

    Kangi Lugola akataa mabadiliko feki

    Kwa taarifa yako, wako wengi sana ambao mchana ni timu JPM, usiku ni timu ENY. Hata mgombea wenu analijua hilo..
  5. O

    Tuseme ukweli na tusiwapotoshe wananchi

    Kumbe nawe ni walewale.......!
  6. O

    Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    Wewe ni daktari wake? yeye mwenyewe amesema haumwi we unasema anaumwa, labda utuambie kama ni 'ka small house kake', maana haueleweki.
  7. O

    Lowassa na Kiingereza chake!

    Pole! wewe ndio hujui Kiingereza, tunaojua tumemuelewa anamaanisha nini, wala hajakosea! Ndio matatizo ya kujifunza kiingereza kupitia dictionary pekee...!
  8. O

    Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    Kuwa na afya, kuumwa na kufa yote ni ya Mwenye ez mungu, haifai na ni dhambi kubwa sana kumsema vibaya marehemu na hata mgonjwa. Hakuna anayeijua kesho yake. Hao wote tunaosema eti wagonjwa leo jana walikuwa na afya njema kabisa. Waliokufa leo, jana walikuwa wazima. Tofauti zetu za itikadi za...
  9. O

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Hii haiwezi kutoa matokeo sahihi kuna watu watakesha kumpigia mgombea wao kura sababu hata ukipiga mara 10,000 haimati. Hata ID feki za kumwaga zitatengenezwa..
  10. O

    James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

    Lowassa anaendelea na kampeni mikoani, alichokifanya Mbatia ni kuita waandishi wa habari kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa. UKAWA wana utaratibu wao wa kuendesha mambo yao. Usikariri...
  11. O

    Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

    Wanaojibu sio wale waliokuwa wamelengwa na waandaaji wa iyo muvi. Walengwa wako busy na kampeni...
  12. O

    Dr. Slaa kufanya mahojiano na Tido Mhando Azam Two kesho Jumapili saa 3 asubuhi

    Mi naona anahangaika tu, ukawa wamefanya vizuri kumkalia kimya. Kibaya zaidi watu wameshamshtukia kuwa anatumiwa..
  13. O

    Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Kama anaumwa, madaktari wake ndio wanaweza kutoa kauli ya mwisho ila sio wewe. We hujui zaidi ya kuleta ushabiki kwenye masuala ya ugonjwa. Angalia usimshabikie mwenzio kuwa anaumwa wakati kumbe wewe ndio uko mahututi, hujijui tu.
  14. O

    Lowassa ataweza kampeni kweli?

    Swala la uzima na ugonjwa ni la mungu, usimseme mwenzio ati ni mgonjwa wakati hata wewe mwenyewe hujapima afya yako. Wengine wliwahi kuanguka majukwaani wakati wa kampeni lakini wameweza kutumikia Urais kwa miaka 10...!
  15. O

    Ukame wa wana CCM kuhamia CHADEMA, je Lowassa amefilisika au ameuziwa mbuzi kwenye gunia?

    Aliyekuwa mgombea CCM Mtama aondoka CCM na watu 700
  16. O

    Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

    Hizo zinaitwa conspiracy mkuu, mothing is true..! JK na Edo hawaivi tena...
  17. O

    Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Wewe umepotoka, usijaribu kupotosha ukweli hapa, TBC inaendeshwa kwa kodi za wananchi wote, wenye vyama na wasio na vyama, wanachama wa CCM na wasio wa CCM, hivyo CCM kama chama tawal hakina uhalali wa kutumia televisheni ya Taifa kwa maslahi yake kwa kuwa inamilikiwa na watanzania wote. Wafanye...
  18. O

    M/kiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja na John Guninita wajivua uanachama CCM na kujiunga CHADEMA

    Kwani CHADEMA ikisambaratika si ndio ahueni kwenu au? Mbona mnaingiwa woga sasa? mi nlitegemea mngekaa kimya ili hayo yatokee msherehekee..!
  19. O

    M/kiti wa CCM Shinyanga, Khamis Mgeja na John Guninita wajivua uanachama CCM na kujiunga CHADEMA

    Unataka ujue madhara ya Guninita, subiri Oktoba 25, kwani idadi ya kura watakazopata CCM ondoa kura yake pamoja na wafuasi wake halafu ziongeze ukawa..
Back
Top Bottom