Search results

  1. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Npo Arusha longido secondary way to namanga border natafuta wakubadilishna naye toka mbeya na njombe
  2. B

    Kujitoa CWT na kujiunga CHAKAMWATA

    naomba katiba ya CHAKAMWATA
  3. B

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wanakera sana hasa huduma yao ya Nmb mobile ni upuuzi hela inaota mbawa kwnye acc wala mpesa hakuna
  4. B

    Kupanda madaraja walimu

    Mwenye ule waraka naomba auweke hapa wa utaratibu wa upandishaji madaraja 2016 coz kuna mtu alisema halmashaur wanajibu wajuavy 7bu hujui na huna waraka ambao wao wanafnya sir kuku undermine kwa rights zako
  5. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    karibu tabora nije njombe,iringa, mbeya au ruvuma idara sekondaari
  6. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Iringa,Mbeya,songea npo tayari njoo longido arusha.0686639957
  7. B

    DUCE kwawaka

    Hii issue ndo inaendelea hapa UDOM. Watu huwa wanasaini ada kila mwaka leo wamebandika barua yakuwasitishia wanafunzi 1500 mkopo barua hiyo imeandikwa kutoka chuoni kwenda Heslb. Wapo mwaka wapili na watatu. Juhudi zao hazijazaa matunda mpaka sasa management inapigiana mpira thread iko...
  8. B

    CHADEMA kuwasha moto Arusha leo 25 May, 2011

    Acha uongo we ndio m/kiti wa kikao maana unatoa ajenda ambazo unataka aman itoweke . KAULI YA MAANA NI KUWATAKIA MKUTANO MWEMA NA WENYE AMANI NA MAFANIKIO
  9. B

    Kikwete ana uwezo lakini hautumii, why?

    Hana lolote kikwete yeye matamasha mazishi na mikutano uongozi sio wake aende zake bagamoyo lugoba
  10. B

    Kikwete ana uwezo lakini hautumii, why?

    <p> </p> <p>&nbsp;</p>
  11. B

    Kwako Mh. Godbless Lema......

    Lema unakubarika. kama jina lako lilivyo toa baraka kwa wote usiogope cheo. nakumbuka maneno yako kuwa huna adress ya uoga. pamoja sana
  12. B

    Hodi hodi

    <p> </p> <p>&nbsp;</p> asante sana 2po pamoja
Back
Top Bottom