Search results

  1. B

    Meedical representative

    Wana jm.ikitokea kazi hiyo nina uzoefu nayo natafuta
  2. B

    Jinsi ya kumpima msichana aliye bakwa

    Wana jm napenda mnijulishe jinsi ya kumtambua mtu aliye bakwa ki tabibu,vitu gani vya kuzingatia?
  3. B

    Know something about Asthma

    Nimependa sana hii topiki yako,na sasa kwa kiasi kikubwa naweza sema nimeijua asthma kupitia kwako. Ombi langu kwako na kwa wadau wote naomba mnipatie utaalaam wa kungundua mtu aliye bakwa siku kama 8 zilizo pita,ki uchunguzi na uthibitisho kuwa mtajwa ndiye yeye...
  4. B

    Mbunge wa Kilindi aipaka JamiiForums

    nimemsikia pia,au ndo tuseme ni yale mambo aliyo ya pata toka NIGERIA?halafu alikuwa akichangia as if yeye ni serikari,Tupeni cv yake na maskendo yake
  5. B

    Malimbikizo hayalipwi kwa wafanyakazi--posho zinalipwa fasta-whyyy???

    Wana JM--hivi kwanini malimbikizo na hele za kujikimu huwa zinachelewa sana tena sana kulipwa ili hali POSHO za kulipana kwenye vikao huwa ni fasta tuuu??? tena huku kwenye halmashauri zetu ndo usiseme.mfano mwaka jana kuna kada mbali mbali ziliajiliwa selikarini lakini wengi wao hawajalipwa...
  6. B

    Mh mbunge habibu Mnyaa-CUF-kasema ukweli

    wana JM-jana mh huyu alisema kuna hoteli moja imeajili wageni wengi ktk nafasi kadhaa ambazo wazawa wana uwezo na elimu ya kuzifanya.Lakini wazawa hawakuzingatiwa. Nami ningependa kuwaeleza ya kuwa,hali hii si kwenye ma hoteli tu,nenda kwenye makampuni makubwa ya uingizaji madawa na kwenye...
  7. B

    Ki taalam nini maana ya mwana harakati?

    Wana JM,naomba nifahamishwe nini maana ya mwana harakaki,na ni sifa zipi unatakiwa uwe nazo ili uwe mwana harakati na utambulike?
  8. B

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    safi dr,naomba unifahamishe hasa kuhusu oesophageal ulcers na tiba yake
  9. B

    Wabunge, waziri watunishiana misuli

    Nimefuraishwa sana na habari hii hasa swala la ajira kwa wazawa hasa kakita sekta ya viwandani,Wabunge watusaidie hili kulipigia kelwle. Kwani wazawa hawapewi nafasi ili hali wana sifa na wanakidhi vigezo.kwa mfano pale SHELYS kiwandani mwenge wahindi wana fanya mpaka kazi za...
  10. B

    Exclusive: Ripoti ya Uchunguzi wa Vifo Tarime - Marehemu walipigwa mgongoni wakikimbia

    Asante sana dr kwa kutupa ripoti hiyo nzuri,ombi langu kwako kama ulivyosema uwe shaidi mzuri na mkweli,watanzania tupo ntuma yako mpaka haki ipatikane.MUNGU AWEZA YOTE
  11. B

    Godbless Lema aitikisa Tarime; Kagasheki adai anachochea vurugu

    Nakupongeza mbunge Lema kwa kufika huko Tarime..Tuna omba utoe taarifa kwa hali ulivyoiona huko.Haki za binadamu zilikiukwa/
Back
Top Bottom