Search results

  1. white wizard

    Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Pole sana mkuu! Mimi yalinikuta hayo nimehangaika miaka 4,juzi ndio nimemfumania jamaa anayo anaiuza 90,000 ilikuwa kama zali tu, sikukawia
  2. white wizard

    Tunaombeni mrudisheni fast Jet ya kipato rafiki kwa Mtanzania, Air Tanzania sio huduma ya kijamii ni huduma ya Watanzania wachache matawi ya juu

    Inshu sio kubaki 70,000!!ni suala la logic tu kama sasa basi kwenda Mza hadi 100,000 hata akifanya laki 50!! Bado ni nafuu, mbona huko kusini mwa africa anafanyq vizuri
  3. white wizard

    Shughuli Gani inaweza nipa faida ya 10Pct net profit Kila mwezi kwa mtahi WA million 20 hapa Dar au kwingineko?

    Hiyo biashara ni ngumu sana, kwani masokoni kuna watu wameshajifanya kama ni mitaa ya mexico (wazee wa madawa ya kulevya) bila hao huwezi uza kabisa.
  4. white wizard

    Wapinzani wamepoteza Mwelekeo? Hawana Sera?

    Yaani upinzani apate soln ya mabalaa wanayopata wananchi?? Umeme tabu, maji hakuna, madawa hakuna, pesa ndio hizo ripoti ya CAG kila leo inaonyesha mabilioni yanaliwa na hakuna hatua zinazochukuliwa!! Watanzania ni wa kuachwa na kufa tu hadi kizazi kipya kitakacho kuja chenye kujitambua.
  5. white wizard

    Mnataka kununua V8 za Wakuu wa Wilaya na Mikoa huku wagonjwa wanakwama njiani?

    Wako sawa tu hadi wananchi mtakapojitambua!!
  6. white wizard

    Sakata la Mafao: Wanakati Tunaangalika na hii Nusu Shari ya Sasa tusisahau Shari Kamili inayokuja

    Hivi kweli mwanasiasa tena wa kiafrika anaweza kuwa na huruma na watu wasiojitambua?? Usione wazungu wamefikia hapo ni kutokana na kujitambua kwao!! Hata kama ni weee kwenye deal zako unapokutana na jitu jinga unafanyaje??
  7. white wizard

    Halmashauri ya Jiji imeshindwa kumsimamia Mkandarasi kuzoa taka kwa wakati Mitaa ya Kariakoo

    Kwani shida ya uchafu kwa Dar ni kariakoo tu?!! Mitaa yote tu isipokuwa sehemu chache wanakoishi wenye kipato cha kati na juu.
  8. white wizard

    Halmashauri ya Jiji imeshindwa kumsimamia Mkandarasi kuzoa taka kwa wakati Mitaa ya Kariakoo

    Tatizo wakazi wenyewe ni wachafu mno!! Nadhani umasikini na uchafu vinaenda pamoja.
  9. white wizard

    Mafuriko yaliyotokea Dubai na tehran juzi na Jana yamesababishwa na bwawa la mwalimu Nyerere! viongozi wetu wamekosa umakini !

    Daaaa!! Mwafrika, mwafrikaaa!! Kiumbe cha ajabu kuwepo duniani, somtimes Mungu mwenyewe huwa anajishangaa hivi hiki kiumbe kilitoka wapi?!! Kwa akili kama hizi
  10. white wizard

    Kocha wa Mamelodi amfollow Eng Hersi Said

    So what!!hii nayo ni habari?!!
  11. white wizard

    Makombola yanatumia saa manane angani halafu unategemea kumlipua Muisrael

    Ila ukiwa mfuasi kindakindaki wa Mudy lazima sometime uwe kama hamnazo
  12. white wizard

    Israel imekubali 3% ya makombora ya Iran yalipiga kambi mbili za jeshi. Yaliyodunguliwa sasa ni 97% tu

    Baadaye huwa hamkawii kuanza kulia ohooo UN,iko wapi mbona kuna mauaji ya haraiki huku!!gaza mmelia weee wala dunia haiwasikii kwani mlianza wenyewe!!
  13. white wizard

    Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

    Ni laki 3 kwa sample 3, ila utaratibu wake hadi ukapime ndio mgumu,lazima kuwe na sababu,kupitia taasisi kama mahakama,polisi,ustawi wa jamii,sio una pesa yako kesho unaenda eti kamata hawa pima,akili za kiafrika zinajulikana hata kwa Mungu.
  14. white wizard

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Kama Mwalimu Nyerere angeendekeza haya si angekuwa ni Prof.tena aliyebobea!!Mi afrika tuna shidaaa
  15. white wizard

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    Yule ndio kiboko ya warabu,na uzuri wa sera yao!!hata kama yule mama wa akili kisoda awe rais wao bado atawapelekea moto tu !!
  16. white wizard

    Mwenyekiti UVCCM Kagera, Faris Buruhan: Tukiwapoteza wanaomtukana Rais Samia mitandaoni, Polisi msiwatafute

    Mbona ni simple tu kama kweli viongozi wa juu hawakubaliani na hicho alichosema ,wampinge hadharani na watoe amri vyombo vya dola vimshughulikie!!mwafrika na unafiki pacha.
  17. white wizard

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Eti CPA,Amosi makala!!wafrika bnana!!yaani ni shida,mbona wazungu wengi wala hukuti hayo
  18. white wizard

    TANZIA Singida: Watu tisa(9) wafariki, basi likigonga Lori

    Hii nchi ni ya ajabu sana,sheria ipo kabisa inayozuia upuuzi kama huu!!mtu ku record tukio la ajali na kuli post!!lakini hazina meno,wasimamizi wake hawana muda
Back
Top Bottom