Search results

  1. H

    natafuta asali mbich ambayo haijachakachuliwa

    BAADA YA ASALI KUONEKANA NI MSAADA KWA MATATIZO MENGI YA KIAFYA WATU WASIO WAAMINIFU WAMETAKE ADVANTAGE YA KICHAKACHUA ILI WAFAIDIKE, MIMINIMENUNUA JUZI HUKU KWETU TANGA NIMEITEST IKO POA KWANI YALIPUKA HIYO YAHE. (CHUPA YA ORANGE TSH. 5000 TU.:yawn:
  2. H

    mlioko kwenye ndoa hebu munisaidia

    Wasikukatishe tamaa kijana we oa tu wenzio tuliooa tunakula na kusaza any time ukitaka wala tena kwa kjiachia sio kuibaiba kama ufanyavyo sasa.
  3. H

    Dully sykes angaka kwanini anapigiwa ovyo na wanawake kila siku hasa wake za watu

    Kumbe ndio huyo? Mbona wa kawaida tu dada zetu bana mnapenda kushobokea hao wabana pua, mmekuwa kama wema wa copper aaaa samahani wema wa kanumba ,sorry wema wa h bb.malizieni wana jamvi maana kuna kamsuruu ka kutosha kwa waliombandua wema.
  4. H

    Wapi Nora na Sinta?

    KAMA MTAKUMBUKA MIAKA YA 2000 KUNA HAWA MABINTI WAWILI WAIGIZAJI KWENYE KUNDI LA SANAA LA KAOLE ENZI HIZO WAKIUZA SURA ITV JE WAKO WAPI HAWA DU! WALIUZA SANA MAGAZETI YA AKINA SHIGONGO A.K.A UDAKU.:embarassed2:
  5. H

    Baada ya hili nikiri kumpenda wema kwa dhati

    Jamani hata mimi nimemuona kwenye kile kipindi cha mkasi,kiukweli nashindwa kuelewa ki2 gani kinamsumbua yule x miss tz wetu ni mrembo kweli lakini naona anatumia urembo wake vibaya kwani mara kwa mara haishi kuwa na skendo mjini.Pamoja na urembo wake nafikili ana kasoro ambazo mwanaume yeyote...
  6. H

    Maulid Baraka wa Kitenge

    huyo jamaa wa ajabu sana mwenyewe anafikiri ni ujanja kumbe ni ushamba hivi muonekano huo akiwa kwenye screen anatufundishia nn watoto wetu? ndio maana kaoa mtu ambae ni aged kwake.
  7. H

    Maulid Baraka wa Kitenge

    Mi nafikili akikua ataacha.
  8. H

    Sitaki tena kutembea na mashorobaro - Wema Sepetu

    Bila shaka huyu demu ana lake jambo kwa nn amekuwa akiwachanganya namna hii wanaume? inawezekana akina Kanumba, COPPER na wengine walopita hapo walikuwa hawamfikishi kisawasawa aje kwangu nimtulize.
  9. H

    TAIFA STARS: Tatizo kocha au wachezaji?

    Kwa kweli hii Timu inatia kichefuchefu sana, timu imepoteza mvuto kabisa.Lawama ziwaendee makocha na wachezaji.Yaani haingii akilini huyu Mwalimu kuendelea kuwatumia akina Machupa na wenzie ambao wamechuja vibaya, hivi akina Kayuni ni maoni gani ya kiufundi mnayompa huyo babu? Au ndio bora...
  10. H

    Kupungua au kukosa hamu ya kufanya mapenzi (low sexual libido or loss of libido)

    Kama umekeketwa sahau kabisa kuja kupata hamu ya tendo la ndoa maana kianzisha utamu kishatolewa andika maumivu tu dada,ila kuzaa utazaa tu.
  11. H

    Kupiga nye*o

    Tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi unafikiri kufanya hivyo ndio unakidhi haja zako,nakushauri acha mchezo huo utashindwa kupafomu hata ukiwa na mkeo.
  12. H

    Kupiga bao

    Si unajifanya fundi muda wote huo wa nini juu ya kifua cha mtoto wa watu?
  13. H

    Kuna mwenye shaka juu ya umuhimu wa nafasi za wakuu wa Mikoa

    Nafikiri huyu mkuu wa nchi anatest zali ili ikiwezekana afutilie mbali cheo cha Mkuu wa mkoa.
  14. H

    Damu inatoka

    pole sana kaka kimbilia haraka hospitalini asikwambie m2 tofauti na ushaur sehemu hiyo ndio yenye starehe zaidi kuliko sehemu nyingine za mwili wa mwanamke.
  15. H

    Umekua ukitafuta kazi, au scholaship bila mafanikio???

    huna lolote mi nilifikili utatueleza hizo skolaship zapatikana wapi badala yake umeleta longolongo kibao. umenibore.
  16. H

    Jamani madent miliopita tukuyu secondary mupo groundini jf

    Yule headmaster mwangoka yupo bado pale tukuyu? Au nae ndio kajifanya gadaf? Du mdingi yule nae alikuwa mnoko, hivi mnamkumbuka jamani hata waalimu wenzake walikuwa wanamuogopa kinoma.alikwishampiga kichwa mshikaji fulani alikuja pale shule kumtembelea mkewe. Almanusura awekwe lupango.
  17. H

    Wale wa Mbeya Day

    Hata mademu wa pale Mbeya dei walikuwa wakali si mchezo jamani.Lakini si unajua tena enzi hizo mchizi huna hata jero mfukoni utampta nani? basi hasira zetu tulikuwa tunazielekeza kupiga book kama hatuna akili nzuri vile na ndio maana tulikuwa tunapasua paper kinoma
  18. H

    Wale wa Mbeya Day

    Ee bana wewe uliyetoa k2 hiki cha mbeya dei ni Mkali,umenikumbusha mbali sana hasa wale waalimu waliokuwa wanoko kama si wazee wa noma(bakora).kwa kifupi napenda kuwakumbuka wachache. Mwl Mwakamele(marehemu),Mwl Mwandeko (marehemu) Mwl ZOYA mzee wa typing(marehemu) na bila kumsahau mbunge...
  19. H

    Sina nguvu za kiume natafuta mwenza, nani atanipenda?

    Pole sana kijana kwani utakwa umemiss utamu kwa muda mrefu,pamoja na maoni mazuri yaliyotolewa na wanajamii lakini suala la punyeto usilifanyie masihala acha kabisa mchezo huo, punyeto ni chanzo cha tatizo lako koma kabisa kufanya hiyo na utapona kabisa na utakula uroda kama kawa.
Back
Top Bottom