Search results

  1. C

    CHADEMA na ACT Wazalendo fungueni kesi kupinga 15% kukatwa kwenye mishahara ya wafanyakazi wenye Mikopo HESLB

    Swala sio chama Fulani. Ni swala LA kujenga hoja na kupinga mifumo ya sheria kandamizi kwa waajiriwa.
  2. C

    Hivi kuoa nikiwa na miaka 23 ni sahihi wakubwa

    Sijakuelewa unataka mke au house mad Sent using Jamii Forums mobile app
  3. C

    Jana ilikuwa siku ya Furaha kukutana na Graduate anachoma mahindi Barabarani

    Hiyo inaonyesha ni jinsi gani tunasoma elimu ya kukremishwa(elimradi kufaulu mtihani) power of thinking and creativity hamna. Hilo siyo jambo LA kusifu ni jambo LA kuombewa Mungu afungue mind set tufikiri sawasawa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. C

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Jeshi LA Polisi linaposema lina intelligence Kali inapaswa kudhibiti jambo kabla ya tukio. Watu wakishapoteza maisha huwezi kuwarudishia uhai wao tena. Naamini hili jambo lipo ndani ya uwezo Wa serikali ikishirikiana na wenyeji Wa eneo. Just a matter of being serious.
  5. C

    Mkuu wa upelelezi aelezea alivyomnasa Tundu Lissu

    Juni 28 mwaka huu...!!!? Terrible kama mashitaka yamefunguliwa kabla ya tarehe yenyewe kufika.
  6. C

    Pwani: Siku ya pili ya Ziara ya rais Magufuli, kazindua Viwanda Vitatu na Mradi wa maji wa Ruvu

    Tungepata Ma Raisi Wa hivi tokea awamu ya pili nchi ingekuwa mbali. Big up JPM
  7. C

    Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    R.I.P askari wetu. Ni majonzi haswa kwa familia ndugu zao wanauwawa
  8. C

    Pwani: Askari Wawili wa Usalama Barabarani wauawa kwa kupigwa risasi Kibiti

    Hili swala lilianza kama masihara, na RPC Alichukulia easy sasa pamefikia papaya. Watu
  9. C

    Hatimaye serikali yawa sikivu, local channels sasa zimerudi hewani bila malipo

    Hizo channel za local mnazosema zimerudishwa ni zipi!? Salio langu la startimes hapa Mwanza limeisha Leo hamna channel ya local inayooshesha zaidi ya TV1.
  10. C

    Traffic mwanza kuweni wabunifu.. ujio wa rais umekuwa karaha.

    foleni bado imekamata, km 1 nimetumia Massa Mawili, naenda km 15 sijui nitafika SAA ngapi
  11. C

    Membe: Ngeleja ni tishio urais 2015

    MTOA MADA tueleze ni nini falsafa ya huyu mheshimiwa, je kwa muda aliokuwa madarakani amefanya na kusimamia falsafa ipi ambayo watanzania tunaweza kumkumbuka ili tumpe kura ya Urais. vinginevyo umeleta story za vijiwe vya kahawa.
  12. C

    Butiku: Mwisho wa CCM miaka 10

    Alisema: “Ukikaa watoto wako wajue umekaa pale kama baba wa wote... siyo baba wa kutafutia kazi (watoto) kwa magendo.” Ukweli unapaki kuwa ukweli, kwa nchi nyingi za Africa maraisi wanataka familia ziwe na maisha ya peponi kwa kuwa na tamaa bila kujua wao ni baba wa wote. Ni hatari imetokea kwa...
  13. C

    Watoto wamuua baba yao kwa fimbo

    Njaaaa....! Ni shida! Njaa huondoa subira Na busara. Hiyo imesababishwa Na ghadhabu ya Njaa.
  14. C

    Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Wanaume wa kikurya hawana unafiki kwenye Mapenzi. Wakipenda wamependa wakitema wanakutema jumla na kichapo juu. Pili wana wivu sana na nyumba ndogo, nyumba ndogo inatunzwa zaidi kuliko kwa bi. mkubwa(wa ndoa). wa
  15. C

    Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    Wanaume wa kikurya hawana unafiki kwenye Mapenzi. Wakipenda wamependa wakitema wanakutema jumla na kichapo juu. Pili wana wivu sana na nyumba ndogo, nyumba ndogo inatunzwa zaidi kuliko kwa bi. mkubwa(wa ndoa). wa
  16. C

    Kati ya mkibosho na mmarangu????

    Wewe ulikuwa nao wote wawili wa lengo gani? Kama ni kwa kuwasoma tabia majibu unayo Na wala so kuangalia ametokea Wapi. Anglia aliyekuridhisha Na mwenendo wake vuta jiko.
  17. C

    Maumivu makali ya mgongo (back pain) na tiba yake

    Pia nakushauri uende Psyotheotherapy wanna mazoezi mazuri utarudi sawa. Mimi ilinisaidia.
  18. C

    Rais, Tumia busara; vunja baraza la Katiba.

    Mkuu linatakiwa livunjwe Mara moja . Kusubiri livunjike lenyewe ni kuendelea kutumia hela zetu.
  19. C

    Rais, Tumia busara; vunja baraza la Katiba.

    Nachukua nafasi hii kumsihii Raisi kuvunja baraza la Katiba. Kwa mtazamo Hamna katiba itayopatikana kwa jinsi lilivyotekwa Na misimamo ya vyama vya siasa Na mipasho badala ya hoja juu ya hoja. Gharama iliyotumika Na inayoendelea kutumika ni kubwa Na hamna taswira ya kupata katiba ya wananchi...
  20. C

    Gari gani poa ya ''kifamilia?''

    Mkuu naomba unieleweshe tofauti iliyopo kati ya Ti Na Si kwenye Carina. Gari nyingine nzuri ni corrola NZE 121 ni nzuri Na fuel consumption.. iko chini sana.
Back
Top Bottom