Search results

  1. N

    Utaratibu wa kupata viongozi katika mfumo wa elimu

    Utaratibu wa kupata viongozi katika mfumo wa elimu umekuwa ni moja ya tatizo kubwa katika mikakati inayofanywa na serikali ya kuboresha elimu Tanzania. Viongozi wengi wa elimu kuanzia walimu wakuu, wakuu wa shule, Maafisa elimu wa wilaya na Mkoa na hata katika ngazi ya Kitaifa. Ukifuatilia...
  2. N

    Walimu Watakapoanzisha Kampeni Rasmi Madarasani Kuing'oa CCM

    Nafikiri hii ni forum ya kila mtu kutoa mawazo yake juu ya kitu chochote na si kujadili mawazo ya mwingine. Itapendeza sana tukitoa mawazo kwa uhuru bila kuwakashifu wengine.
  3. N

    Migomo katika Vyuo Vikuu na serikali ya awamu ya Nne

    Kufungwa kwa chuo kikuu mapema wiki jana ni mwendelezo wa kile kilichozungumzwa mapema tu na wanafunzi wa Elimu ya Juu wakati huo ilipoanzishwa sera ya Mikopo ya Elimu ya Juu wenyewe wanaiita sera ya uchangiaji wa Elimu ya Juu. Watu hawa ambao wazazi wetu wanahenya kufanya kazi na kuwapa uwezo...
  4. N

    Kiwango cha Elimu Tanzania: Nani alaumiwe?

    Nionavyo mimi kiwango cha Elimu kimeshuka hasa ukizingatia sifa za walimu waliopo , miundo mbinu tuliyonayo na utekelezaji wa mipango tuipangayo kuhusu Elimu. Kama vigezo vya kupanda kwa Elimu ni idadi ya wanaojiunga katika ngazi furani ya elimu basi Elimu ya Tanzania iko juu mno kulinganishana...
Back
Top Bottom