Search results

  1. S

    Anaomba tuachane na sio kutengana!

    usilazimishe maji kupanda mlima kaka, kuwa mwelewa umependa tena kwa dhati lakini mwenzio hajakupenda. Jikatae.
  2. S

    Kwanini wanawake wengi mna vitambi siku hizi?

    hapo itakuwa sio kumaintain shape bali ni kuja kuwa mabaunsa, mazoezi hayapunguzi vitambi ila yana komaza mwili
  3. S

    Kwa wale madomo zege!!!

    sijakupata, toa mfano.........
  4. S

    When will i enjoy gvt services heslb

    punguza jazba mkuu, sio wewe tu waliokutupia kwenye kikapu, wako wengi............
  5. S

    Hakuna rafiki wala ndugu wa kweli duniani

    what am doing and my age is less concerning with the topic, in actual way there is no body who is against the reality that there is no real friend, lakini pia hata sisi tusije tukajiona tuko poa, kuna wengine ambao wanatuchukulia kama sisi tunavyowachukulia wengine, hope that you have...
  6. S

    Hakuna rafiki wala ndugu wa kweli duniani

    sio kwamba mi sikubaliani na wewe, bt nakuuliza swali kwmba kama hakuna rafiki wa kweli na wewe tukuweke kwenye kundi gani? 99.9% umesema ni maadui, sasa hiyo 0.1% ni ya nani? au ni yako? nakubali kuwa hakuna marafiki wa kushirikiana na sisi kwenye shida, lakini wewe utakaekubaliana na hilo pia...
  7. S

    Hakuna rafiki wala ndugu wa kweli duniani

    wengine ni marafiki kwa marafiki zetu, by the way huwezi jua nani kutokana na ukweli halisi ulio ndani ya mioyo ya watu................ jiulize kama hakuna rafiki wa kweli au ndugu wa kweli wewe tukuweke kwenye kundi gani? huenda wewe unadhani hakuna rafiki wa kweli kwa vile na wewe sio rafiki...
  8. S

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Naomba kuuliza swali kwamba huyu jamaa huwa anafuata nini huko nje kila mara? Kama ni sura hapahap Dar inauzika, sasa anaipeleka nje ya nchi ili inunuliwe sh ngapi? Anatutia tu umasikini.
  9. S

    Kuanguka Kwa Rostam Aziz; Tafsiri Yangu

    we ****** umetumwa ee? Kuwa makini na maneno yako yaliyojaa giza na mapenzi na huyo Nape wako, ka vipi unaweza kumgeuzia ushuzi aka mchoree saba maana inaonyesha anakukuna vizuri sana. sisi wanafiki wewe shoga, anaekatikiwa na viongozi wa sisiem.
  10. S

    Anne Kilango umejitia aibu

    kiufupi huyu maza ni kama ****, hata kama ukilichamba haliachi kunuka. Ana sura ka sokwe aliyemwagiwa unga, ****** kweli ka kiongozi wao wa kuchekacheka( JK)
  11. S

    Bashe ajipanga kugombea Igunga

    aende na yeye kuuza sura na kupateli watanzania wapiga kura ma walala hoi.
  12. S

    Kuanguka Kwa Rostam Aziz; Tafsiri Yangu

    Kama siasi ni ushenzi na upuuzi kama huu ni bora kila mtu akajiongoza, hawa viongozi hasahasa CCM NI WAHUNI NA WEZI WA KUPINDUKIA, KAZI KUUZA SURA NA KUFANYA UMALAYA NA UHUNI, WAJINGA SANA HAWA.
  13. S

    Kuanguka Kwa Rostam Aziz; Tafsiri Yangu

    wote wavuta bangi, walamba unga nk. usenge wao wanaufanya kisirisiri kwa chata ya uongozi, unafiki wakijiuzulu huo uhanisi wao wataenda kuufanyia wapi? Kiongozi wa nchi mwenyewe malaya, mademu kibao, na hawawezi kumnyima koz yeye ni raisi, kudadadeki, mi siwapendi wala nini.
  14. S

    wabunge mnaolala bungeni

    Siunajua kipindi cha mkutano mjengoni makaba wote nchi nzima wanahamia Dom, usiku kucha wanawaliza haya majamaa... Kinafofuata mchana bungeni?Imeandikwa ole wao waubadilishao usiku kuwa mchana, na azinie na mwanamke hana akili kbs (asie mkewe lakini).Jiulize ni nini hasa kinawafanya hawa majamaa...
  15. S

    They said...Walisema...

    ukweli utabakia palepale kwamba mwanaume anawakimbia adui sio kabisa, kwa hiyo basi ili uonekane we wa ukweli lazima uwapende adui zako, imeandikwa kwenye bible kwamba you must love your Enemy.
  16. S

    Sio rahisi kumsahau ...... ndivyo anavyowaza huyu dada!

    mhhh! Kwa hiyo anawaza hivyo akitamani mzee arudi au?
  17. S

    Dahhhh!Vyoo vingine bwana!!!!!!

    Alafu mlangoni pameandikwa KE, haraka haraka demu anaweza kushtuka kwa kuogopa kuukalia mhogo.
  18. S

    Blimey!!

    kweli kabisa.
  19. S

    Very amazing

    nimeupenda, it is truely amazing, ningeufahamu mahali ulipo ningefanya mpango wa kwenda kupatembelea.
Back
Top Bottom