Search results

  1. S

    Yaliyojiri Bungeni Nov 17, 2015: Job Ndugai achaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la JMT

    Sasa uitaka waape vipi kwani hujaeleweka. Toa mbadala
  2. S

    Dawa ya STDs kama Gono

    Magonjwa yatokanayo na STDs sio mapya na yameendelea kuwepo. Kwa elimu nahitaji kufahamu dalili za haya magonjwa na effective medicine ya kutibu. Hii itakuwa faida kwa wengi..
  3. S

    Barclays Bank (Tanzania) yafunga matawi 10 nchini

    ndo maana wanatoza 10,000 kila mwezi kwa maintainance fee but customers wengi Hawaijui hili
  4. S

    Utafiti: Nusu ya wanaume nchini wagumba

    study hii ina mapungufu mengi sana. Pamoja na mapungufu yaliyotajwa, pia hatujaonyeshwa muda uliotumika na age groups. na kama walienda wanandoa comperative study ingeonyeshwa hapa. Mara nyingi study za namna hii ni kwa ajili ya kufurahisha donors wa nje ili waendelee kuomba misaaada
  5. S

    Elections 2010 3 Days left to Election by Political analyst BM

    Kwanza rudi shule uelewe maana ya kuwa analyst, then weka mawazo yako upya au vinginevyo futa neno analyst na weka politician. Halafu jielimishe kwanza, vyama vya siasa vilianza lini na before kulikuwapo na nini?
  6. S

    Jitihada za JK ni "SIFULI"

    Kwa mara ya kwanza gari la Rais kuchomoka tairi,
  7. S

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    Jamani we need to be serious. Vic naye anaweza kupendwa na kupenda
  8. S

    Kutoka Bungeni: 2006 - 2010

    tutaonana mengi kipindi hiki cha bunge na hasa maandalizi ya chaguzi zinazofuata.
  9. S

    Malecela, Chitalilo Vs Dr Slaa

    Hii inawezekana ni mbinu ya CCM kuwatoa watu kwenye hoja ya msingi na kuwaingiza kwenye marumbano yasiyokuwa na kichwa wala miguu. Huyu Malecela anafahamika kuanzia pale alipopendekeza Kabwe asimamishwe. Infact hana jipya kwa sasa na anazeeka vibaya kama anajiweka kwenye kundi la...
  10. S

    Mkuu wa Kaya ameoa mke mwingine?

    Acha aongeze hata kama hasipoongeza mbona NKAPA alikuwa na mmoja (official) lakini akaondoka na resources za taifa nyingi tu. So mkono wa wizi na kuridhika ni tabia ya mtu tu
  11. S

    Mwanyika aongea...

    source: mzee wa sumo (Mpoki Bukuku) Mwenyekiti wa Timu Maalumu (Task Force) ya Rais ya kuchunguza wizi wa mabilioni ya shilingi Benki Kuu katika kashfa ya ufisadi, Johnson Mwanyika (kushoto), ameshindwa kutoa hesabu kamili ya pesa wanayodai kukusanya na hakuwa na jipya la kueleza badala yake...
  12. S

    Kabila teule....

    Mimi sijawahi kuona utafiti usiokuwa na FACTS and FIGURES. Ninachokiona hapa ni maneno ya kijiweni. Weka comparative figures ku-authenticate your arguments.
  13. S

    Mwanyika aongea...

    Sasa kama makampuni yanafahamika kwanini asiseme ni kampuni gani imerudisha pesa????? Ukisikia kamati iliyo-fail kabla ya kazi ni hii ya wajinga watupu--Mwanyika-Hosea- kwanza wote inabidi waachie ngazi na wanaendelea kuonyesha uwezo wao mdogo.
  14. S

    Customs (TRA) inavyohujumu waagizao magari ya Japan

    Ile study group ya wakenya iliyosema kuwa bandari Dar ni No.1 kwa Rushwa watu tuliona kama wanaleta ubinafsi but in real sense walikuwa sawa kabisa. Wale wafanyakazi wa TRA na sehemu nyingine wanapopangwa kituo cha bandarini basi ndoto ya kuwa masikini kwa njia haramu huwa imetimia. Nafikiri...
  15. S

    Washauri wapya

    Hawa wataalamu wa WOrld Bank na mashirika mbuzi yote si ndo walitushauri kuhusu madini kuwa tusiweke mashariti yoyote ili kuvutia wezi akina BARICK na wengine? Shida moja ya hawa wataalam nchi kama Tanzania hatuna ubavu wa kukataa wataalam uchwara yaani tunaletewa tu. Je CV zao nami...
  16. S

    Customs (TRA) inavyohujumu waagizao magari ya Japan

    kwanza serikali ingekuwa makini ingejua kuwa wwanaofaidika na hizo pesa za kudanganya ni wengine tu kwani mara nyingi watu wanamalizanaa na hao wahuni bandarini. Lakini ukweli kwamba TRA hasa wale jamaa wanaofanya physical checking ni wahuni sana sababu huwezi kujudge gari kwa kutumia mikanda...
  17. S

    Pinda kiboko

    Sumaye mbali na utupu sikumbuki kama alifukuza mtu mkutanoni. Ile natural justice wanayoihubiri sijui kwao sio applicable.
  18. S

    Je, Una Msaada Wowote Katika Upatikanaji wa Viwanja?

    Kwenye net naona hizi website kama zinashughulika na real estates http://www.prointz.com/ http://franklintz.com/cgi/contacts.php Ila jaribu kupata kwanza info kuhusu genuineness za hizi site
  19. S

    ATCL: Another Richmond!

    Kama kawa MKONO ndani ya nyumba.
  20. S

    Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

    Kama ni huyo sioni faida ya yeye kuwa mbunge.
Back
Top Bottom