Ni kweli hakuna muda wa kupoteza hasa miaka hii ya technology na uhaba wa ajira..
Lakini inategemea na mambo kadhaa, Kazi/Ajira yako, umri , mazingira unayoishi n.k
mfano: mwekezaji wa Real Estate sio muda wote atakuwa busy
UPOTOSHAJI "WASOMI HAWATAJIRIKI" EBU TUWATAMBUE MATAJIRI WASOMI DEGREE LEVEL
Kwangu mm nauona huu ni upotoshaji mkubwa na wenye madhara kwenye jamii yetu..
Nachojua ni kweli wasio wasomi kwa ujumla ni more risk taker kulinganisha na wasomi lakini hii pekee sio factor ya ku generalise...
NAMTAFUTA MCHUNGAJI FRACIS NDACHA WA SDA NIMPE SADAKA YANGU
Kwa kazi kubwa iliyotukuka ya kueneza injili naomba kujua ni namna ipi sadaka yangu inaweza kukufikia
Kwa yeyote mwenye mawasiliano na huyu mchungaji wa SDA naomba msaada habari hii imfikie pia naamini tupo wengi.
Ni kweli na mimi natamani kujua ni nini chanzo chake, ni kama vile yaliandaliwa kuuzwa nje ya nchi halafu ghafla soko likafungwa inabidi kusambazwa humu humu au ni ya kutoka nchi jirani
Kosa la Ndugai liko wapi ? yuko sahihi kwa mtazamo wake, Kosa lake ni kukiri kosa, ila mtazamo au msimamo wake unamanufaa kwetu sisi watanzania, ndio uhuru huo,
Sasa mnahitaji serikali isiyopingwa ? isiyokosolewa ? yaani tuendeleze udikteta umekomaa vichwani kwetu watanzania ?
NOTED: Pesa za mkopo tena kiasi kikubwa "KUTUMBUKIZWA KWENYE MIRADI ISIYOZALISHA"
kujenga choo, madarasa, huduma za afya, walipaji ni wale wale wananchi na uwezo wao wa
awali hafifu wa kuzalisha...
Hakika Ndugai yuko sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.