Search results

  1. zizon

    CHADEMA ni wanaharakati na sio wanasiasa

    nijuavyo mimi mtu yeyote ambaye ni kula kulala hawezi jua ni nini chadema wanafanya kwa vile yeye hajui hata bei ya dawa ya meno anayo tumia kupigia mswaki lakini kwa yeyote anaye hangaika na maisha lazima atajua nini kinafanyika. By da way hatuwezi sema kwamba chadema wakiingia madarakani...
  2. zizon

    CHADEMA ni wanaharakati na sio wanasiasa

    kazi ukiyo nayo nikubwa kuliko unavo fikiri hakika busara inatakiwa kwako na si vingine mara nyingi anayekanyagwa ndie anae pata maumivu na vinginevyo kwa kuwa tulio wengi tunakanyagwa hatuna budi kutafuta suluhu hatuwezi kubishana na walio jitosheleza kwani huwa hawaijui shida ya mlalahoi...
  3. zizon

    what is your favorable games in windows

    pia kuna the house of dead or thod pia nalo lipo pouwa sana
  4. zizon

    what is your favorable games in windows

    nafikiri maxpyne is good kwa wale wanao lijua
  5. zizon

    Kujisajili program ya quickbooks 2010 premiere version

    Kwani unapo sajili unaanza na +255 au?
  6. zizon

    Nitawezaje?

    lakini pia weweza tumia backup hasa nokia original kama unatumia nokia pc suite tafuta sehemu imeandikwa backup then ukibofya utapata menu ambayo utachagua unataka kufanya backup nini contact,masage, au unataka ubackup vitu vyote pamoja na nyimbo theni utaendelea na maelekezo ila ni muhimu...
  7. zizon

    Wizi kwenye ATM

    huyo mwizi anaweza kupatikana kama anafahamika na watu wajamii yako ,swala lipo ivi jamaa yangu hata ukienda kwa meneja bila kuripoti police ni kazi bure kwani hiyo ni jinai sasa unacho takiwa toa taarifa kituo chochote jirani yako theni afisa upelelezi kwa kibali maalumu atakwenda kuonana na...
  8. zizon

    Modem ya mtandao upi itanifaa?

    Kifupi ni ivi kaka airtel ndo kila kitu kama upo mkoani ambako airtel ipo sina uhakika na zinginezo hasa ttcl na sasatel bt voda ,airtell,tigo ambazo ni known, air tell ni kiboko kwani 2500 unapata 4oomb kwa mwezi mzima na consuption yake ni naafuu kulinganisha na voda mimi huwa nadownload...
  9. zizon

    FROM CD to DVD to ........ CHANGAMOTO KWA WASANII WETU

    Napenda pia kwani dats good.
  10. zizon

    Idadi ya wanachama CHADEMA imepanda kufikia...

    ama kweli usipokuwa unafuatilia habari unakuwa mzigo kwa wenzio,, kweli hadi leo ukiona mtu mwenye akili bado anashadadia CCM hakika huyo hana la ziada katika dunia hii anafaa atoswe baharini kiwe chakula cha samaki.
Back
Top Bottom