Search results

  1. M

    Usiipite hii post tafadhali...hebu ichungulie

    Age aint nothing but a number welcome on board
  2. M

    Safari ya kwenda UJERUMANI

    then go for it ill check with them if they really have an exchange programme
  3. M

    Safari ya kwenda UJERUMANI

    have worked with TYC on an exchange program call global exchange if you can tell me who called you then i can confirm but its true they do have exchange programms three month in Uk and Three month in Tanzania . Give me more details and i can be able to advise you
  4. M

    Nimependa changudoa

    Hongera kaka kwani ata hao machangudoa hawakupenda kufanya iyo kazi kama kweli umempenda na umekaa nae mkaongea na anmekubali kubadilika na kuacha iyo tabia basi sioni ubaya wa we kumkwamua kwenye ilo janga na mwenyezimungu awabariki kwani ni wengi wanaofanya iyo biashara kwa shida na so kwa...
  5. M

    Andika kwa maneno ya kiswahili namba hizi 10,0001 na 11,000..

    10001 - milioni kumi na shilingi moja 11000 - milioni kumi na moja elfu kiswahili kirahisi sana jamani
  6. M

    Kuitwa kazini

    Hao we ni wezi kakangu usilipe mi yashanikuta hayo .
  7. M

    Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

    Pole sana dear ila mrudie mungu wako na atakuongoza unachotakiwa kufanya ni kuamini kwamba you can raise your kid without him give yourself positive hope and you will make it . I passed the same path and i believe you can make it . Mtoto ndio atakusumbua ila atazoea tu with time. Mungu...
  8. M

    Nimewakamata wezi wa ajira mtandaoni!

    Jamani kazi tunayo sasa hivi tunaotafuta kazi inabidi tuwe makini sana mi mwenyewe imenikuta ivyoivyo hapa arusha baada ya kumpigia jamaa akarusha nikamshtukia ni jambawazi.But iwish ningenkamata live ili tuwakomeshe.
  9. M

    Akipandishwa cheo je?

    anakuwa home administrator
  10. M

    Miaka yako

    Kweli we kichwa
  11. M

    Jobs At Kibacha Safaris

    Asante nabil .
  12. M

    Jobs At Kibacha Safaris

    Naamini kuwa ni matapeli coz kwanzan deadline ilitakiwa kuwa 20th June but kwa email yao wanasema tulipe kabla ya 13th June na iyo training inaanza 18th June. How come usaili ufanyike kabla ya deadline. jamani ndugu zangu tuwe makini sana na hizi kazi tusije tukapoteza vijihela vyetu vigodo...
  13. M

    Jobs At Kibacha Safaris

    Habari wadau, Jamani kuna kazi ziliadvertisiwa last week za udereva kibacha safari's na one of my relative aliapply but cha kushangaza wamemtumia email eti amechaguliwa kufanya nao kazi bila kufanyiwa usaili wa vitendo kutokana na CV yake imejitosheleza. Alafu eti anatakiwa kulipa 30,000/-...
Back
Top Bottom