wadau msilaumu.nimemaliza chuo ifm nikakaa mtaani miaka 4 bila kazi ya kueleweka ila ya kula na matumizi madogo nilikuwa napata.cku moja zilitangazwa kazi humu nikiwa dar but kazi mwanza.niliomba nauli nikaenda interview.baada ya kupita interview ndo tukaambiwa tutalipwa kama ifuatavyo: miezi...
nenda.Mimi nilikuwa dar nikaitwa interview mwanza.nilifanya huku nikiwa guest siku 6 zote.nashukuru mungu nilipata kazi na mpaka sasa nipo kazini.omba mungu uckate tamaa kazi ngumu kupata.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.