Search results

  1. M

    Nahitaji bajaj bei isizidi milion 1na laki nne

    Aliyenayo tafadhali tuwasiliane 0757922293:flypig:
  2. M

    Nauza bajaj aina ya 2stroke

    1.3 mil chukua nanba 0757922293 jama uko tayari
  3. M

    Natafuta bajaj inayotembea ya 1. Milion

    Wadau mwenye nayo twaweza fanya mawasiliano niko Tabora, nahitaji kuanzia mwezi ujao. mawasiliano 0757922293:A S 465::A S-baby:
  4. M

    Nahitaji kwenda Rwanda kutafuta maisha.

    Waheshimiwa sana wanasheria! Mimi ni kijana na ni graduate wa udom mwaka jana kozi ni Project planing, management and comunity devl, nahitaji kwenda huko mana nasikia nchi ile imepiga maendeleo sana na fursa za uwekezaji ni nyingi na ni iman yangu kwamba naweza pata kazi kule. Naomba nyie km...
  5. M

    Maafisa maendeleo wa jamii wilaya mpya!

    Habari wanajamii? Ebana nasikia kuna ajira mpya za hao watalamu kuanzia mwezi ujao ktk hzo wilaya, japo mm sina uhakika lakn kunakigogo mmoja anayefanya kaz mkoa mpya wa simiyu ameniambia na kunitaka niandae hela isiyopungua laki 3 kwa maelezo ya kwamba hyo hela inapelekwa mahala na co rushwa ya...
  6. M

    Toyo inauzwa 1milion moshi mjini

    Toyo pikipiki ya miguu mitatu yani ya mizigo, bajaji au pikipiki miguu miwili? Kuwa specific
  7. M

    Bajaji chini ya milioni je zinapatikana?

    Mana ajira hakuna, na kiwango changu ni chini ya hyo hela mwenye nayo au anatarifa anisaidie angalau nijiajiri. Ahsanteni
  8. M

    Ni kweli kwamba nafasi za polisi zimetoka?

    Nackia zimetoka tujuzane wana jf kama ni kweli
  9. M

    Nafasi za kazi TRA

    Kuna watu wiki lililopita wamefanya usaili kwa nafasi hizo! Ama kweli msafara wa mamba na kenge wapo
  10. M

    Natafuta kazi ya mtendaji wa kijiji.

    Wa jf km m2 anainfomation na kazi za namna hyo tupeane tarifa to phone # 0757922293. Elimu yangu ni km ifuatavyo degree moja ya udom ambayo ukiconvert ni sawa na certificate yyte vyuo vingine vya maendeleo ya jamii. Aliye serious anaijuze mana nko serious ni hzo kazi. Ni pm au ni sms.
  11. M

    Kwa wale wanaopenda kwenda Polisi, magereza, JWTZ isipokuwa JKT usaili wanukia.

    Usaili utafanyika mwezi september kwa mujibu wa tarifa za ndani za wasemaji wa majeshi hayo. Tarifa hzo za kiinteligencia zinasema wameshindwa kufanya usaili mapema mwezi wa kwanza na pili kutokana nakukosa pesa kwani fungu walilotengea limehamishiwa ktk matumizi mengine. Kwa hyo kwa sasa...
  12. M

    Je unawafahamu hawa oxride co. Limited?

    Wameita watu kwenye usaili wa kazi ambazo walikuwa wametangaza hapa wilaya Nzega mkoani Tabora. Lakn cha ajabu wametoa namba ya voda ambayo wanataka walushiwe mpesa ya shiling elfu kumi eti kwa ajili ya kuandaa vitambulisho na paspot siku ya usail uwe na sms hyo ya mpesa inayoonesha malipo ya...
  13. M

    Used bajaj for 1.5ml

    Lita moja kwa km ngapi inatembea?
  14. M

    Subwoofer inahitajika haraka.

    Iwe aina yoyote, ili mradi ina sauti nzuri isiwe na matatizo yyte, tsh 45000/= ninayo mkononi. Call 0784320993 au 0757922293 nko igunga tabora . Thanks
  15. M

    Coaster-Min Bus For Sale!!.

    Niko kigoma je nauli utanilipia ili kuona hyo hap dsm, mana hutaki kuweka details zote
  16. M

    Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

    <br /> na bado vijana wa cdm fanyen kazi yenu mana wana ccm wanatoa mabango ya cdm. Hongera <br />
  17. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Mkapa leo alipokuwa akizindua kampen za ccm ameshindwa kujibu hoja za Mbowe na Slaa ya kwamba ni kwanini alijiuzia mgodi wa kiwira, pesa za kagoda ziko wapi? Matokeo yake anasema igunga ya 1994 si hii ya leo na ni wilaya inayoongoza kwa maendeleo kwa mkoa wa Tabora. Swali ni kwanini walale nzega...
  18. M

    Nahitaj mashine ya kuangushia magogo na kuchana mbao iwe inatumia petrol na portable

    Ahsanteni sna kwa msada wenu ila niko Tabora nyumbani, mana ya ku pm sijui labda unifahamishe na niambie bei wewe wazanzibar mi ntakuja dsm
  19. M

    CCM na mbinu zilizopitwa na wakati za matumizi ya dola kuchukua jimbo la Igunga!

    Inasikitisha sana kuona vitendo vinavyoendelea kujitokeza ndani ya wilaya ya igunga, mkuu wa kituo cha polisi amehamishwa kwa kuruhusu opereshen sangara, meneja wa bank ya NMB amepewa uhamisho kwa kosa la kwenda kusikiliza mikutano ya CHADEMA, kubwa zaidi mkurugenz wa halmashauri ndugu Magayane...
  20. M

    Nahitaj mashine ya kuangushia magogo na kuchana mbao iwe inatumia petrol na portable

    Mwenye hyo mashine ya kuangushia magogo na kuchana mbao porini nahitaji bei ipo laki 9, awe yuko tayari kunipa mafunzo ya namna ya kuitumia yaani kukata magogo na mbao. Nawasilisha wa jf
Back
Top Bottom