Search results

  1. G

    Matokeo ya usaili TRA

    Wakuu hakuna aliyepiga picha matokeo ya ACO,atuwekee hapa!!
  2. G

    Natafuta kazi

    We dada hueleweki...mara kidato cha nne...mara cha sita...duh...unaonekana hauko serious...mara unabadili heading eti 'mrembo natafuta kazi'....sasa urembo na kazi wapi na wapi...jinadi jinsi unavyoweza kufanya kazi...kama unataka mume sema tu watajitokeza...chezea jf...
  3. G

    Msaada wa mwanasaikolojia

    Asante mkuu...nitasoma...naijua hii blog...
  4. G

    Msaada wa mwanasaikolojia

    Mkuu hapo kwenye kuondoa mawazo ya kitendo hcho umenigusa kwan ni moja ya vitu ninavyostruggle navyo,kiufupi tatizo langu kubwa ni wasiwasi wa kutoperform vizuri na najikuta kwel inakuwa hvyo,nimejitahid kuondoa hal hiyo kwa ushauri mbalmbal ninaosoma hapa lakin improvement si nzuri...
  5. G

    Msaada wa mwanasaikolojia

    Asante kwa ushauri wako mkuu...lakin bado nahitaj kubadili approach ya kutatua tatizo hli coz litazid kuwa sugu nikilichukulia poa bila kuongea na wataalam wa mambo haya...offcoz nimesoma sehem nyng khs suala hili bt bdo cjaona mafanikio ya kuridhisha...mayb nikiongea nao physically nitapata...
  6. G

    Msaada wa mwanasaikolojia

    habarini wanajamvi...wandugu naomba msaada kwa anayejua psychologist wa kuaminika hapa dar anayeweza kunisaidia tatizo langu...tatizo langu ni kwamba siku hizi nawahi sana kukojoa ktk kujamiiana na naamini ni suala la kisaikolojia kutokana na matukio kadhaa kabla ya tatizo hili...
  7. G

    BOT waanza kuita interview

    labda wana vigezo vingine...
  8. G

    BOT waanza kuita interview

    mbona mi nina upper second ila cjaitwa...niliomba bank examiner..
  9. G

    NHIF vipi?

    taarifa za uhakika znasema mwez huu oral znafanyika...tuendelee kusubir..
  10. G

    BOT waanza kuita interview

    nashangaa wanatoa habari nusunusu..
  11. G

    PPF-Pension Fund kumekucha-Call for Aptitude Test

    hako kajamaa kasamehe inaonekana stress zmezidi..
  12. G

    Taarifa kwa Umma kutoka ofisi ya Waziri mkuu juu ya ajira kwa Walimu Mapya mwaka 2013/14

    yapo mliyofanya kidogo but ilitakiwa iwe zaid ya hapo ila mmekumbatia sana ufisadi na ubinafsi...nchi hii ingetawaliwa na wazalendo wenye upeo ingekuwa mbali sana maana tuna kila kitu cha kutufanya tuwe matajiri...so hatushawishiki na maendeleo yenu kiduchu mabazazi nyie..go to hell..
  13. G

    Jihadharini na huu Utapeli

    sasa tapeli ni mwesiga au MCB? kwanza unajuaje huyo jamaa anafanya kazi MCB?
  14. G

    NHIF Call for Interview

    siku si nyingi...siku yoyote kuanzia sasa mkuu
  15. G

    Ajira za NHIF

    bado mkuu..
  16. G

    Mshahara wa NHC

    kama we hujui kuna wengine wanajua..waache wamjibu....au admin kaanzisha shindano la kucomment?
  17. G

    Uhamiaji: Mishahara Yao

    mh labda jamaa kaona una tabia za kidada...
  18. G

    BOT Vacancies

    asante mkuu..umenisaidia kumjibu..
Back
Top Bottom