Search results

  1. Yericko Nyerere

    Nilinyolewa nywele na mpenzi usiku

    Siku nyingi sana na majini tayari yanaishi ndani
  2. Yericko Nyerere

    Nilinyolewa nywele na mpenzi usiku

    Asana mshirikina mwenzangu!
  3. Yericko Nyerere

    Nani mwenye nguvu anayeruhusu 'Mauaji ya Sumu' ndani ya CCM?

    Hii ni kauli rasmi ya Chama cha Mapinduzi kinachoongoza serikali toka kwa msemaji wake Paulo Makonda kwamba ndani ya CCM kuna shughuli za mauaji ya SUMU! Rejea nyuma Kwamba Mzee Mangula alilishwa/alinyweshwa sumu, Na leo Kwamba Makonda anataka kuuawa kwa sumu? Hii ni taarifa rasmi kwamba CCM ni...
  4. Yericko Nyerere

    Rais Mwinyi, tengua Amri haramu ya kwamba Wamasai hawaruhusiwi kutembea na fimbo na Sime Zanzibar. Inahatarisha Muungano!

    Nina laani kwa nguvu zote kitendo cha vurugu za mgambo na watu wa jamii ya kimasai kwakupigana hadharani, Nina laani Masai kushambulia Mgambo, Nina laani kwa nguvu kubwa Mgambo wa Zanzibar kushanbulia watu wa jamii ya kimasai! Jambo hili halikubaliki kwa mjibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa...
  5. Yericko Nyerere

    Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Akili za kuelewa zenyewe zipo?
  6. Yericko Nyerere

    Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Tunapojadili mambo ya maana jitahidi kuficha upumbavu wako ndugu
  7. Yericko Nyerere

    Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Tunahitaji maamuzi magumu!
  8. Yericko Nyerere

    Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

    Nikiri wazi kutoka sakafu ya moyo wangu, nimefurahi sana kilio changu na kampeni yangu ya miaka mingi kuona leo imejibiwa na Mkuu wa Majeshi nchini. Nilionya kuwa nchi yetu tumeingiliwa, tunahujumiwa tena vya kutosha. Nakumbuka 22 December 2019 niliandika makala hii hapa chini nikitilia mashaka...
  9. Yericko Nyerere

    Kwanini Abeid Amani Karume Alimtimua J.Okello "Empty Handed" licha ya kumsaidia kufanya Mapinduzi ya kumtoa Sultan?

    Majibu yote nilishaeleza kwa undani sana katika kitabu hiki, Okello alipinduliwa akatekwa na kwenda kutupwa Uganda na Julius Kambarage Nyerere kisha Urais wa Zanzibar akampatia Karume, shughuli zote zikakamilka pale Ukonga terminal 1 jiji Dar es Salaam.
  10. Yericko Nyerere

    Tujikumbushe vikwazo hadi Tuzo ya Mwandishi Bora Afrika

    Kwahiyo kumbe ninaongoza serikali? Binti una hasira sana... Ilalamikie ccm ndio iliyochukua hatua sio mimi.
  11. Yericko Nyerere

    Tujikumbushe vikwazo hadi Tuzo ya Mwandishi Bora Afrika

    Naomba leo niwarudishe nyuma kidogo tulikotoka hadi leo nimepata Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika. Nawakumbusha tu kwamba December 2017, kitabu cha Ujasusi kikiwa na mwaka mmoja hivi tangu kichapishwe, Mhadhiri wa Chuo Kikuu Dkt. Athumani S. Ponera (Akiwa ni Mhadhiri wa Taaluma za...
  12. Yericko Nyerere

    Tuhuma hizi za ufisadi wa Karne Tanzania, zinahitaji majibu ya kiserikali

    Nafikiri huu ndio ufisadi mkubwa zaidi kuliko hata skendo ya DP World. Inasikitisha nchi inatafunwa na genge liitwalo ccm hadi huruma. Kwamjibu wa Jarida la The Global Mail linasema kuwa kikosi kilichoundwa na Rais (Task Force) cha Watu 60 waliokuwa na kazi ya kuhakikisha Kampuni ya Madini ya...
  13. Yericko Nyerere

    Waraka wa Kanisa Katoliki na Nafasi ya Kanisa Tanzania, Tutarajie...!

    Nilikaa kimya kwa muda baada ya Waraka wa Kanisa Katoliki, nilifanya hivyo ili kuruhusu mitazamo ya wengine katika tafakuri za waraka huu. Kabla sijachambua Waraka huo, Kwanza nithibitishe kuwa NINAUNGA MKONO kwa 100% waraka huo. Na pia kabla sijachambua nimebini kupitia maoni ya watu mbali...
Back
Top Bottom