Search results

  1. A

    Njia panda : Should i really wait???

    Kuna mtu anamtegemea anayempenda, akimkosa atarudi kwako, alternative B Dig it.........
  2. A

    Kwa anaye wafahamu hawa pwc

    Wanaangalia na chuo ulichosoma, kama umesoma chuo kikuu gezaulole huitwi, hata kama GPA ni 5.0
  3. A

    Kwa anaye wafahamu hawa pwc

    Hwaangalii A za Hesabu wala kama anavyosema mdau, wanaangalia GPA na angalau uwe ulifaulu four na six two unapita. Wnalipa kawaida ila si mbaya ila utatoka umeiva sana, training nyingi na kazi ni nyingi pia; na popote ukiomba kazi baada ya hapo utaitwa manake waajiri wengi wanajua watu waliotoka...
  4. A

    kwa wakatoliki:Kumcha mwenyezi mungu ni chanzo cha maarifa!

    Kama umeandika kwa wema ubarikiwe, na kama umeandika kutafuta comment Mungu akusamehe maana hujui ufanyalo
  5. A

    Natafuta Mchumba/Mume.

    All the best Pam, naamin Mungu atakuonyesha alie bora. Usijali comment za watu kila mtu na vile Mungu alivyomuonyesha njia ya kupata mwenza. Endelea kuomba bila kuchoka. Wote tuliomba sana sana na kufunga mpaka tukapata wenza
  6. A

    Nifanye Nini Ili Nimsahau!!

    Moumbe Mungu sana
  7. A

    jamani eeeeeeeeeee NIMECHOKA KUKOPWA....!

    Hata mi nilidoda kama wewe, mnunuzi alitokea bila kutegemea, nimempa jumla kwa bei pooooooooooooooa. Pray mamito
Back
Top Bottom