Search results

  1. M

    Kutana na Mwanadada Dereva wa Bus

    Huyo dada anaendesha Ndenjela
  2. M

    Zijue sababu za kustusha zinazosababisha wilaya ya Njombe kuongoza kwa UKIMWI Tanzania

    Pia Pana uwingi wa makahaba ambao huwezi jua kama ni makahaba. Kuna bar moja Nilikwenda inaitwa hazina nilishangaa kuona idadi ya wahudumu inazidi idadi ya wateja nilipouliza nikambiwa hizo ni kachumbali naweza jichagulia
  3. M

    Zijue sababu za kustusha zinazosababisha wilaya ya Njombe kuongoza kwa UKIMWI Tanzania

    Mtoa mada yuko sahihi hizi sababu pia ndizo zilipelekea makete kuwa vile ilivyokuwa na sasa hata Ludewa kuna Hiyo tabia kwa kiwango kikubwa
  4. M

    Mikeka yaokoa maisha ya wanafunzi wa chuo

    Hakuna ambaye ametoka kimaisha through betting wanapata hela ya kula na starehe tu. Ila sipati picha mwisho wake ukoje maana sasa kila mtu anataka kubet. nilishangaa kuna dada mmoja naye anataka kubet hata mpira haujui na haijui team hata moja alafu Anaomba mshikaji ambetie. Nilishangaa...
  5. M

    Wafanyabiashara kugoma nchi nzima

    Tokea alhamis hadi Leo no service ni hatari sana. serikali Iko wapi
  6. M

    ACT-Tanzania ni chama cha upinzani kwa chama tawala, au chama cha upinzani kwa vyama pinzani?

    Ujinga na umaskini wa watanzania ni mtaji wa mafisadi. nimeipenda hoja mtoa mada inaonesha ni miongoni wa great thinker waliobakia jf. tuwe na uwezo wa kutafakari jambo kwa kina sio ushabiki wa kisiasa unaosababishwa na njaa zetu. hii nchi hatuwezi kuendeshwa na akili ya mtu mmoja kwa...
  7. M

    Klabu gani ya mpira Afrika Mashariki ina mashabiki wengi

    Yanga Dar African ndiyo ina washabiki wengi
  8. M

    Magari tunayonunua ni yale yaliyokwishatumika na Wajapani

    Ninachowasifu watanzania ni kupenda u b ishi pasipo kufanya utafiti. nahisi pengine lengo linakuwa kumshambulia mtoa mada. Na pia tunapenda kuja na ushahidi wa vijiwen.. na pia kama mtoa mada alishow weekness kidogo ktk hoja yake basi ndiyo inakuwa sababu ya kufanya kuwa hajui kitu kabisa...
  9. M

    Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Wanaaibisha wasomi wa nchi. hiki chuo wanasoma masomo mangapi. jumapili wako loose hadi waanaandama kwenda kusaka wagombea urais haya kuna vyuo kama MUST huwezi kuyasikia
  10. M

    Nape: Watakaoenguliwa Urais CCM hawatakiangusha chama wakihama

    kazi anayo. sasa wakitoka wanawake kundi litakalofuata ni wafungwa na mateja. Ila good technics move inauza
  11. M

    Magari yote yangekuwa Manual transmition kusingekuwa na Foleni nchi nzima

    Anayeendesha manual ndiyo anendesha gari Anayeendesha automatic anaongoza gari. Napenda kuendesha manual
  12. M

    Biashara matangazo wengine mjifunze

    Act ni kama inzi life span yao fupi
  13. M

    Ajali Leo tena

    Yutong kwenye mvua. Lazima iteleze
  14. M

    Sheikh wa Wilaya Bagamoyo amkana Lowassa

    Niliuliza Ile move ni episode ya ngapi nilijua
  15. M

    Kumekucha: Tathmini ya Adhabu ya Akina EL na BM Haina Ukomo

    Hapo hafunguliwi mtu mkutano utakaofuatwa ni kuchuja wagombea Yaani tayari fomu zitakuwa zishachukuliwa. sasa hivi ukikutana na vijana wale wanajiita friendsf of Lowasa au mamilioni ya El kamata mkwanja piga hela hakuna kwa kuulizana maana siku ya mwisho itakuwa kama ni kipa kajifunga mwenyewe
  16. M

    Jimbo la capt. John Komba sasa ni vurugu tupu, wagombea wa CCM 15 wameanza kampeni

    Vipi M4C? Huyo mwisho ni yupi. Kuna mwisho mmoja alikuwa Mwenyekiti wa halmashauri ya mbinga wanalia hadi Leo ni jambazi
  17. M

    CCM mnatumia rasilimali za Watanzania kwa shughuli za chama

    Hao ndiyo ccm asilimia 90 wanatumia raslimali za serikali magari na mambo mengine. hata kule nyasa kwenye mazishi ya Capt Komba. nilimshuhudia Nape akitumia gari ya serikali yenye plate namba STL wkt yeye ni kiongozi wa Chama
  18. M

    Lowassa azidi kulikoroga, Ahaha kujinasua

    ccm na ikulu wanakwepa aibu Ndiyo maana hawatampendekeza lowassa. NA HAITAKUWA MKITAKA TUANZE KUBET. Kwa utendaji na uadilifu hadi lowassa awe rais mbona mnakun.....hadharani. mwenyekiti wa Chama kashaigiza hafungui mkutano kama Jina la El litakuwepo
  19. M

    Zitto apokelewa kifalme Kigoma na kukabidhi Ambulance

    Wanaratibu mapokezi kwa gharama zao. Wanawaleta waandishi wa habari kwa gharama zao ili waje waandike kapokelewa kifalme. la kuvunda halina ubani. ZITO kubali yaishe.
Back
Top Bottom